Thursday 13 April 2017

Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia kufikisha magoli 100 katika michuano ya Ulaya ngazi ya klabu.Fahamu zaidi hapa.

Cristiano Ronaldo na Rais wa Real Madrid Perez akikabidhiwa jezi inayoonesha idadi ya magoli aliyofunga katika mashindano ya UEFA club level

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment