Home »
Burudani
» SERIKALI Yakwama Upelelezi kesi ya Wema Sepetu.Fahamu zaidi hapa.
Leo April 12, Msanii Wema Sepetu alifika
katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam kusikiliza
kesi ya tuhuma za kutumia na kukutwa na Dawa za kulevya, ambapo UPANDE
wa Jamhuri umeshindwa kukamilisha upelelezi dhidi ya kesi inayomkabili
msanii huyo.
Upande wa Mashtaka uliowakilishwa na
wakili wa Serikali Constantine Kakula, ulidai kuwa kesi hiyo imefika kwa
ajili ya kutajwa lakini upelelezi haujakamilika hivyo ipangiwe siku
nyingine.
Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba,
ameuhoji upande wa Jamhuri, kutokana na kuchelewesha upelelezi wa kesi
hiyo ambapo kila tarehe inayotajwa Serikali inadai kuwa upelelezi
haujakamilika.
Kesi hiyo imeahirishwa na itatajwa tena tarehe 2 mwezi Mei mwaka huu.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
TID: Kuwa Karibu na Makonda Kumenifanya Nikose Show.
Msanii wa muziki, TID amelalamika kuwa baadhi ya watu wanamfanyia figisu
figisu ili asipate show kutokana na ukaribu wake na Mkuu wa Mkoa wa Dar
es Salaam, Paul Makonda.
Muimbaji huyo amefunguka hayo katika kipindi cha E… Read More
Kuolewa Mke wa Pili si Dhambi- Tausi Mdegela.
KOMEDIANI matata wa Bongo Movies, Tausi Mdegela amefunguka kuwa,
ikitokea akapata mwanaume wa kumuoa, hata kama ana mke haina shida
kuolewa mke mwenza au wa pili kwani kama ni Muislam, dini inaruhusu.
Tausi alifunguka h… Read More
Hizi Ndivyo Wema, Mobetto na Tunda Wanavyozungukana kwenye Penzi la Diamond.
Mambo ni moto! Habari ya mjini inayotrendi ni kitendo cha staa wa sinema
za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kuonekana akioneshana mahaba shatashata
na zilipendwa wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambacho kimeamsha
‘vilivy… Read More
Baada ya Kubwagwa na Heri Muziki Diva Anyapia Penzi la Soudy Brown.
Baada ya kubwagana na mpenzi wake Heri Muziki, Diva amefunguka mipango yake ya kuwa na Soudy Brown.
Mtangazaji huyo wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Fm amesema kwa
sasa yupo tayari kubadili dini kwa ajili ya Soudy Br… Read More
Aunt Ezekieli, Tunda na Iyobo Kimenuka Wamwagiana Mvua ya Matusi Mitandaoni.
Moja kati ya stories zinazotrend katika mitandao ya kijamii leo Jumanne
ya January 30 2018 ni post ya Tunda ambapo alipost picha yake katika
ukurasa wake wa instagram na baadae Aunt Ezekiel kumjibu kwa kucomment.
“Afu n… Read More
0 comments:
Post a Comment