Wednesday 27 July 2016

#Breaking News>>>AJALI BASI LA UDA LIMEGONGA TRENI WATU 6 WAFARIKI.Fahamu zaidi hapa.

"Ajari mbaya imetokea hapa maeneo ya Kamata kariakoo karibu na terminal ya mabasi ya mwendo kasi,kwenye makutano ya reli na barabara muda huu.

 Daladala la UDA lililokuwa linaelekea Mbagala limegongana na treni,watu wameumia vibaya na wengine sita wamepoteza maisha apo akiwemo konda wa kampuni ya Uda.

Dereva kakimbia,kama una ndugu au jamaa yako anaishi Mbagala au alikuwa anaelekea njia hiyo na hajafika mpaka sasa fatilia".Mungu awalaze mahali pema wote waliopoteza maisha.

0 comments:

Post a Comment