Friday 22 July 2016

#YALIYOJIRI>>>>VYUO VIKUU HIVI HAVIRUHUSIWI KUDAHILI WANAFUNZI TENA KUANZIA MWAKA HUU.Fahamu zaidi hapa.

Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetoa orodha ya vyuo ambavyo havitaruhusiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/17.

Vyuo vilivyozuiwa kudahili ni pamoja na
1. International Medical and Technological University (IMTU) – all programmes.
2. St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) – all programmes.
3. University of Bagamoyo (UoB) – all programmes.
4. St. Joseph University College of Engineering (SJUCET) – all programmes.
5. University of Dodoma (UDOM) – Doctor of Medicine Programme
6. State University of Zanzibar (SUZA). – Doctor of Medicine Programme.

Lazima heshima ye elimu irudi .

0 comments:

Post a Comment