Monday 25 July 2016

#MICHEZO>>>>SALUM TELELA AVUNJA UKIMYA NA KUJIUNGA NA NDANDA FC.Fahamu zaidi hapa.

Salum Telela amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Ndanda FC ya Mtwara.

Awali kulikuwa na taarifa kwamba Telela angeacha soka lakini yeye aliamua kuwa kimya kabisa.



Telela ambaye aliachwa na Yanga, tayari sasa ni mchezaji mpya wa Ndanda FC ambayo imepanga kujiimarisha na kufanya vema msimu ujao.

0 comments:

Post a Comment