Hebron Malele
  • Home
  • About Us
  • Habari Moto
  • Michezo
  • Burudani
  • New Video
  • Download Audio
  • Makala
  • Technology

Wednesday, 27 July 2016

Home » Burudani » #BREAKING NEWS>>>>Nay Wa Mitego Afungiwa na BASATA.Atozwa Faini Ya Tsh. Milioni 1.Fahamu zaidi hapa.

#BREAKING NEWS>>>>Nay Wa Mitego Afungiwa na BASATA.Atozwa Faini Ya Tsh. Milioni 1.Fahamu zaidi hapa.

06:04:00  Burudani  No comments
Tweet

Baraza la Sanaa (BASATA) lamfungia mwanamuziki Nay wa Mitego.

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego hadi hapo litakapojiridhisha kwamba ametekeleza maagizo yote aliyopewa na Baraza sambamba na yeye kubadilika katika kubuni kazi zenye maadili na zisizo dhalilisha watu wa kada mbalimbali.

Maagizo aliyopewa Msanii Nay ni pamoja na kulipa faini (adhabu) ya kiasi cha Shilingi milioni 1, kufanya marekebisho ya mashairi ya wimbo wake wa ‘Pale Kati’, kufuata sheria, kanuni na taratibu za urasmishaji sekta ya Sanaa kwa maana ya kusajiliwa na BASATA na kuhakikisha wimbo wake umefuata taratibu zote.

Aidha, Msanii Nay ameagizwa kuwaomba radhi watanzania kwa kutoa kazi ya muziki yenye kuvunja maadili na kudhalilisha watu wa kada mbalimbali hususan wanawake.

Maamuzi haya yamefanyika kwa mujibu wa kifungu cha 4(2) cha sheria nambari 23 ya mwaka 1984, ikisomwa pamoja na kifungu cha 30(1)(2) na waraka wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo wa tarehe 16/7/2009 ambayo kwa sasa inafahamika kama Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Adhabu hizi zimetolewa kufuatia BASATA kufanya kikao cha pamoja na Msanii huyu jana siku ya Jumanne tarehe 26/07/2016 kwenye Ukumbi wa Baraza na yeye kukiri makosa na kuahidi kubadilika.

Makosa aliyosomewa na yeye kuyakiri kwa maandishi ni pamoja na;
1. Kujihusisha na shughuli za Sanaa pasipo kusajiliwa na BASATA.
2. Kutoa wimbo wa “Pale Kati” na kuupakia katika mitandao ya kijamii bila kuuleta kufanyiwa uhakiki wa maudhui yake.

3. Maudhui ya wimbo wa ‘Pale Kati’ kwa sehemu kubwa hayafai kwa matumizi ya wazi na ni kinyume cha sheria za nchi na maadili ya mtanzania.
 
Ikumbukwe kwamba mnamo tarehe 16/07/2016 BASATA lilitoa taarifa kwa umma ya kuufungia wimbo wa Pale Kati kufuatia kubeba maudhui yenye uvunjifu mkubwa wa maadili na kupambwa na picha dhalilishi kwa wanawake.

Aidha, tarehe 12/02/2016 BASATA liliufungia wimbo wa Shika Adabu Yako wa Msanii huyuhuyu kwa makosa yanayofanana na haya. Hivyo adhabu hii imetolewa ili kumpa muda wa kujifunza, kujitathimi na kujirekebisha kama kweli ana nia ya kuendelea kufanya kazi ya muziki 
 
SANAA NI KAZI TUIKUZE, TUILINDE NA KUITHAMINI
Godfrey L. Mngereza
KATIBU MTENDAJI, BASATA.

Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
← Newer Post Older Post → Home
RELATED POSTS

0 comments:

Post a Comment

Social Profiles

TwitterFacebookGoogle PlusEmail

KARIBU TANZANIA

Bendera ya Taifa.
  Designer Hebron Malele More information: hebronjohana@yahoo.com *Phone number 0659-994437* !!  Follow me :

Ofa ofa ya kutangaa biashara zako hapa.

Ofa ofa ya kutangaa biashara zako hapa.
  • Popular
  • Tags
  • Blog Archives

HABARI MPYA

RSS Feed Widget

NEW-VIDEO : Mbosso Ft. Reekado Banks – Shilingi.

NEW VIDEO Wimbo Mpya wa Aslay – Naenjoy

  • DOWNLOAD WIMBO WA ROSE MUHANDO UNAOITWA "HALLOW".
    DOWNLOAD WIMBO WA ROSE MUHANDO HALLOW. Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi...
  • Download wimbo mpya wa RAYVANNY UNAOITWA "ZEZETA".
    Download wimbo mpya wa RAYVANNY - ZEZETA . Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa U...
  • Download wimbo mpya wa Yeke Tee & Doka Style & Linecuka unaoitwa "Dogo Na Bro".
    Download wimbo mpya wa Yeke Tee & Doka Style & Linecuka - Dogo Na Bro. Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye...
  • Download nyimbo ya Mess Chengula ft Upendo Nkone inayoitwa "Moyo wangu hauna woga".
    DOWNLOAD HAPA CHINI.
  • #YALIYOJIRI>>>JAKAYA KIKWETE AFANYA MABADILIKO TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NA KUTEUA MAJAJI.
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mabadiliko ya Utendaji katika Tume ya Taifa ya Uch...
  • #YALIYOJIRI>>>Gesi Nyingine Yagundulika Bonde la Mto Ruvu,Ina Ukubwa wa Ujazo wa Futi Trilioni 2.17.Fahamu zaidi hapa.
    Tanzania  imedhihirisha kuwa ni tajiri mkubwa wa rasilimali ya gesi asilia baada ya kugundulika kwa gesi nyingine katika bonde la mto R...
  • #BURUDANI>>>>Kinazidi Kunuka Kati ya Baraka Da Prince na Stan Bakora..Stan Amjibu Baraka Kama Ifuatavyo.Fahamu zaidi hapa.
    Unaambiwa utani ni Mzuri ila Utani ukiwa wa Ukweli sana Unauma na Ukimuuma aliyetaniwa akikosa Kifua tu cha kujizuia, Ugomvi anaweza aka...
  • Download wimbo mpya wa Ben Pol Ft. Chidinma unaoitwa "KIDUME".
    Download wimbo mpya wa Ben Pol Ft. Chidinma - KIDUME. Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Ze...
  • Download nyimbo mpya ya Rick dynamo x Diamond Platnumz inayoitwa"Kutoelewana".Hapa hapa.
    DOWNLOAD HAPA.
  • Download wimbo mpya wa Rose Muhando Ft. Oliva Wema unaoitwa Lazima Wakae.
    Download wimbo wa Rose Muhando Ft. Oliva Wema - Lazima Wakae Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Hab...
Powered by Blogger.

FOLLOW ME

hebronmalele
View my complete profile

Followers

Views total

Ofa ofa ya kutangaza biashara zako kupitia BLOG ya "Hebron malele" changamkia hii nafasi sasa.

Ofa ofa ya kutangaza biashara zako kupitia BLOG ya "Hebron malele" changamkia hii nafasi sasa.

New Video-Darassa ft Jux - Juju

STARBOY - SOCO ft. TERRI X SPOTLESS X CEEZA MILLI X WIZKIDi New Video

Blog Archive

  • ►  2019 (5)
    • ►  September (5)
  • ►  2018 (246)
    • ►  September (2)
    • ►  June (3)
    • ►  April (9)
    • ►  March (38)
    • ►  February (88)
    • ►  January (106)
  • ►  2017 (2382)
    • ►  December (24)
    • ►  November (15)
    • ►  October (28)
    • ►  September (117)
    • ►  August (167)
    • ►  July (208)
    • ►  June (240)
    • ►  May (314)
    • ►  April (390)
    • ►  March (408)
    • ►  February (178)
    • ►  January (293)
  • ▼  2016 (3505)
    • ►  December (235)
    • ►  November (283)
    • ►  October (374)
    • ►  September (489)
    • ►  August (436)
    • ▼  July (349)
      • #BREAKING NEWS>>>>JAMES LEMBELI ARUDI CCM KUTOKA C...
      • Irene Uwoya Asema Angeumudu ‘Ukuu’ wa Wilaya Kama ...
      • Mama Diamond Anywea Kwa Zari Hassan.Fahamu zaidi h...
      • #YALIYOJIRI>>>Utajiri wa Dangote Washuka...Sasa Ha...
      • #YALIYOJIRI>>>>Manispaaa ya Dodoma yapewa siku 7 k...
      • #BURUDANI>>>Mwana FA ataja wasanii wake bora wa Hi...
      • #MICHEZO>>>SAMATTA AENDELEA KUFUNIKA UBELGIJI APIG...
      • #YALIYOJIRI>>>>HIVI NDIVYO NYUMBA YA MTOTO WA Bakh...
      • #BREAKING NEWS>>>>INASEMEKANA JUMBA LA KIFAHARI LA...
      • #MICHEZO>>>Bayern munich na Manchester United zawa...
      • #MICHEZO>>>Wanacha wa SIMBA waongozwa na Agenda 10...
      • #MICHEZO>>>>CHUJI ATUA KMC FC, LENGO NI KUIPANDISH...
      • #MICHEZO>>>BAADA YA ZOEZI LA KUKWANGUA, VIFUSI VIT...
      • TAZAMA PICHA JINSI LOWASSA ALIVYO ZUILIWA KUINGIA ...
      • #YALIYOJIRI>>>>>Lowassa Uso Kwa Uso na Nape Nnauye...
      • BAADA YA KUTOKA JELA HATIMAYE KOFFIE OLOMIDE APOST...
      • #YALIYOJIRI>>>Lowassa afunguka mengi Leo....Adai h...
      • #Live>>>>Mahojiano ya Edward Lowassa na Tido Mhand...
      • #MICHEZO>>>Man United yaendelea kuwa tishio michez...
      • #BURUDANI>>>SUPER STAR WEMA SEPETU AFUNGUKA KUHUSU...
      • MASKINI HUYU MKURUGENZI AWA WA KWANZA KUTUMBULIWA ...
      • #YALIYOJIRI>>>>Mbowe asakwa na polisi, hiki ndicho...
      • #BURUDANI>>>>WANAMUZIKI WA DANSI WAMPIGA TAFU MAKO...
      • #MICHEZO>>>ANGALIA JOSEPH OMOG ALIVYOTUMIA WACHEZA...
      • #MICHEZO>>>ALIYEONEKANA HANA KITU SIMBA, ACHUKUA T...
      • #MICHEZO>>>KILA USICHOKIJUA KUHUSU PAUL POGBA HIKI...
      • PICHA MPYA ZA STAA KAJALA MASANJA.
      • Download wimbo wa Cannibal ft Juma Nature unaoitwa...
      • Download wimbo mpya wa Kimbunga Mchawi Ft Cat P un...
      • Download wimbo wa Dudu Baya ft Mau unaoitwa "Poko ...
      • #YALIYOJIRI>>>>Kiwanda Maarufu Cha Dangote Chatozw...
      • #YALIYOJIRI>>>Audio: Msikilize Rais Magufuli Akizu...
      • #MICHEZO>>>>BIA YA KILIMANJARO RASMI YAAMUA KUACHA...
      • #YALIYOJIRI>>>>CHADEMA wamjibu Msajili wa Vyama vy...
      • Download wimbo mpya wa Professor Jay Ft Sholo Mwam...
      • Taarifa muhimu kwa wanaodaiwa na Bodi ya Mikopo ya...
      • #MICHEZO>>>>Vitu alivyoongea bilionea Mohammed Dew...
      • Download wimbo wa Nikki Wa Pili Ft Chin Bees inayo...
      • #YALIYOJIRI>>>>Lowassa Akoleza Moto CCM....Awata W...
      • #YALIYOJIRI>>>>Pacha wa Magufuli Azua taharuki kar...
      • #YALIYOJIRI>>>Mwanamuziki Koffi Olomide aachiwa hu...
      • #YALIYOJIRI>>>Bodi ya Mikopo yatangaza majina 1,09...
      • HATIMAYE NAY WA MITEGO AANDIKA HAYA MANENO BAADA Y...
      • #YALIYOJIRI>>>Video: Papa Francis aanguka ghafla a...
      • #YALIYOJIRI>>>Taarifa Kwa Umma Kutoka Wizara Ya Vi...
      • #YALIYOJIRI>>>Rais Magufuli Atengua uteuzi wa Mwen...
      • #YALIYOJIRI>>>>Picha ya Mtanzania anayeteswa na Mc...
      • #Breaking News>>>AJALI BASI LA UDA LIMEGONGA TRENI...
      • #MICHEZO>>>BEKI MPYA SIMBA ALIYEFIWA NA MAMA YAKE ...
      • #MICHEZO>>>>AZAM FC SASA INAVYOPAMBANA KUMPATA MRI...
      • #BREAKING NEWS>>>>Nay Wa Mitego Afungiwa na BASATA...
      • #BREAKING NEWS>>>>ASKARI ALIYEMUUA MWANAHABARI MWA...
      • #YALIYOJIRI HIVI PUNDE>>>>CHADEMA yatoa tamko kali...
      • #YALIYOJIRI>>>Aliyekuwa Akiibia Serikali Milioni 7...
      • #YALIYOJIRI>>>Waziri Mkuu Aongoza kikao cha wadau ...
      • #YALIYOJIRI>>>>Picha:Zitto na Maalim Seif walivyok...
      • #YALIYOJIRI>>>Makonda aibua ufisadi ujenzi Maching...
      • LIVE UP TO DATES>>>>>>MEDEAMA 3 VS YANGA 1 (LIVE)-...
      • Download wimbo mpya wa Kala Jeremiah Ft Miriam Chi...
      • BREAKING NEWS>>>INASADIKIKA dada aliye pigwa picha...
      • #MICHEZO>>>>Azam yamuuza Tchetche Oman.Fahamu zaid...
      • #MICHEZO>>>Charles Boniface Mkwasa atangaza kikosi...
      • #YALIYOJIRI>>>TCU yakanusha taarifa za kuvifungia ...
      • #BREAKING NEWS>>>KOFFI OLOMIDE AKAMATWA NA KUPIGWA...
      • #YALIYOJIRI>>>Mchungaji Anthony Lusekelo Adai Lowa...
      • #YALIYOJIRI>>>Zitto Kabwe na Maalim Seif Kutua Mar...
      • #Video>>>>Cristiano Ronaldo akiwa kwenye show ya J...
      • Download wimbo mpya wa Iyanya ft Awilo inayoitwa "...
      • #MICHEZO>>>>SALUM TELELA AVUNJA UKIMYA NA KUJIUNGA...
      • #MICHEZO>>>>MAN UNITED YAONDOKA CHINA BAADA YA MEC...
      • Download wimbo wa Tekno inayoitwa "Pana".
      • Download wimbo wa Abizzy ft Davido inayoitwa "Shus...
      • Download wimbo mpya wa Millian ft Steve R&B and Be...
      • Download wimbo wa "MAN FONGO" inayoitwa "HAINAGA U...
      • #YALIYOJIRI>>>>Taarifa kuhusu uamuzi wa Mahakama K...
      • #YALIYOJIRI>>>Waziri Mkuu kuhamia Dodoma Septemba ...
      • #YALIYOJIRI>>>>Askofu Gwajima amjibu Katibu Mkuu w...
      • Habari Katika Magazeti ya siku ya Leo Jumatatu ya ...
      • STAA IRENE UWOYA KATIKA MUONEKANO MPYA.
      • Picha 8: Mwigizaji Jackline Wolper atangaza kuhama...
      • STAA AGNES MASOGANGE HAYA NDIO MAMBO ALIYOFANYA MT...
      • #BURUDANI>>>>Wasanii Wamlilia Kikwete Walipokuwa W...
      • MREMBO HAMISA MOBETO AJA NA FASHENII MPYA.
      • #YALIYOJIRI>>> Kauli ya CHADEMA baada ya wanachama...
      • STAA KIM KARDASHIAN NI BALAHAA,TAZAMA NGUO ALIZOVA...
      • #BREAKING NEWS>>>>MWANAMUZIKI KOFFIE OLOMIDE AMPIG...
      • #YALIYOJIRI>>>Ripoti ya Jeshi la Polisi Dar es Sal...
      • #MICHEZO>>>>TOP 10 YA WACHEZAJI WALIONUNULIWA KWA ...
      • #YALIYOJIRI>>>>Programu za vyuo vikuu ambazo hazij...
      • #YALIYOJIRI>>>>Utiaji Saini Makubaliano Ya Awali Y...
      • #MICHEZO>>>SAMATTA ATUPIA PENATI GENK IKISONGA MBE...
      • #YALIYOJIRI>>>>VYUO VIKUU HIVI HAVIRUHUSIWI KUDAHI...
      • #YALIYOJIRI>>>>Zuio la Mikutano ya Kisiasa ni Kumy...
      • #YALIYOJIRI>>>>CHADEMA Wafungua kesi mahakama ya A...
      • #YALIYOJIRI>>>>>>Maalim Seif kutinga Mahakama ya I...
      • #YALIYOJIRI>>>>Tanzania Yatahadharishwa kuongezeka...
      • #YALIYOJIRI>>>>JWTZ yasema wapo tayari kukabiliana...
      • #TANZIA>>>>Msanii wa Vichekesho Ismail Makombe (Ku...
      • #BURUDANI>>>ZARI AMKANA HUYU MTOTO MKUBWA KWAMBA S...
      • Download wimbo mpya wa "JOSEPH NYUKI" unaoitwa "WE...
    • ►  June (290)
    • ►  May (373)
    • ►  April (239)
    • ►  March (144)
    • ►  February (172)
    • ►  January (121)
  • ►  2015 (930)
    • ►  December (118)
    • ►  November (69)
    • ►  October (107)
    • ►  September (173)
    • ►  August (251)
    • ►  July (184)
    • ►  June (28)

 
  • Labels

    • About Us
    • Burudani
    • Download Audio
    • Habari Moto
    • Home
    • Makala
    • Michezo
    • New Video
    • Technology
  • LIKE THIS PAGE

    Blogger Tips and TricksLatest Tips For BloggersBlogger Tricks
  • Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

Copyright © Hebron Malele | Powered by Hebron Malele
Design by Hebron | Malele Phone number:0659-994-437 - Email:hebronjohana@yahoo.com
Www.hebronmalele.blogspot.com