Tuesday 27 September 2016

#BURUDANI>>>>Alikiba Atajwa Kuwania Tuzo za MTV EMA 2016..Diamonda Aachwa Mwaka Huu.Fahamu zaidi hapa.

Anakuwa msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kutajwa kuwania kipengele hicho. Kiba atachuana na wasanii wengine wakiwemo Wizkid na Olamide wa Nigeria na Black Coffee na Cassper Nyovest wa Afrika Kusini.
Kama ilivyokuwa mwaka jana, mshindi katika hatua ya kwanza ataendelea kwenda kuwania kipengele cha Worldwide Act: Africa/India ambacho mwaka jana alishinda Diamond Platnumz.

0 comments:

Post a Comment