Tuesday 27 September 2016

#YALIYOJIRI>>>Burundi yatoa tani 183 za chakula kwa wana Kagera.Fahamu zaidi hapa.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba (kushoto) akikabidhiwa msaada na Waziri wa Afrika Mashariki Bi. Leontine kutoka Serikali ya Jamhuri ya Burundi kwa lengo la kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.

0 comments:

Post a Comment