Saturday 24 September 2016

#MICHEZO>>>>Simba yatoa kipigo kama Manchester United ilivyo ifunga Leicester hii leo.Fahamu zaidi hapa.

Simba na Manchester United zafanya kufulu leo baada Simba kushinda Simba 4-0 Maji maji na Manchester United kushinda Manchester United 4 - 1 Leicester City,Timu ya soka ya Simba yatamba uwanjani ikionekana inacheza mpira wa kasi muda wote na kupelekea simba kufunga magoli 4 yakiwa yamefungwa na Shiza Kichuya magoli mawili dakika ya 67 na 81 na Jamal Mnyate magoli mawili dakika ya 04 na 74.

Mpaka mpira unaisha Simba 4-0 Maji maji
MATOKEO YA LEO SEPTEMBER 24,2016 LIGI KUU TANZANIA BARA.

Mtibwa Sugar 1-1 Mbao     


Ndanda 2-1 Azzam     


Ruvu Stars 2-0 Mbeya City     


Simba 4-0 Majimaj

0 comments:

Post a Comment