Thursday 29 September 2016

#YALIYOJIRI>>>>>Vijue Viwanja ambavyo Ndege Mbili za (ATCL) Zitakwenda.Fahamu zaidi hapa.

Waziri Mbarawa alitaja viwanja 12 vitakavyotumiwa na ndege hizi ambayo 11 ni vya ndani ya nchi na kimoja ni cha nje ya nchi. Viwanja hivyo ni;-
1. Dar es Salaam

2. Zanzibar
3. Mwanza
4. Dodoma
5. Arusha
6. Bukoba
7. Kigoma
8. Tabora
9. Kilimanjaro
10. Mbeya
11. Mtwara na
12. Comoros.
Akiweka msisitizo wakati wa kuhitimisha hotuba, Waziri Mbarawa alisema kuwa ndege hizi si mali ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) bali ni mali ya serikali, hivyo ATCL watazitumia kwa mfumo wa kukodisha

0 comments:

Post a Comment