Muigizaji katika tasnia ya Filamu nchini, Elizabeth Michael aka Lulu, amekuwa akidaiwa kuwa na mzozo na model Hamisa Mobetto haswa baada ya model huyo kuachana na baba wa mtoto wake ambaye kwasasa anajiangusha kwa Lulu.
Model maarufu nchini Tanzania, Hamisa Mobetto

Baada ya Lulu kuweka chati hiyo hakuandika ni nani aliye husika haswa kwenye kuandika hayo, Lakini inadaiwa ni Hamisa Mobetto aliye nyuma ya mpango huo, Lulu aliambatanisha ujumbe huo na waraka huu.
“It’s almost a Year now Na wala cjawahi kuongelea hii issue popote pale…nilifanya hvyo coz sikuona sababu za kuongelea maisha yangu Binafsi in public Kwa kipindi hiki chote kumekuwa Na maneno mengi pengine tumeyasabisha wenyewe wahusika Au Ni uchochezi Tu WA baadhi ya watu.
Nitaongea Leo Na sitoongea tena kuhusu hili popote pale..! Mara nyingi nimekuwa najitahidi sana kuzuia uchochezi WA maneno Kwa upande Wangu Na Hata watu Wangu WA karibu wanaweza Kuwa mashahidi WA Hilo
Nisianzie mbali,hizo message zilizopostiwa Na Page ya Katoto lee Ni za kweli nimezishuhudia mwenyewe mana ilibidi nimtafute kumuuliza nilichowahi kumkosea kiasi Cha kunitukana kupita kiasi…alikiri anatumwa Na anatumiwaga elfu 5 Na mara ya mwisho alitumiwa elfu 12.
Baada ya Maongezi Na huyo katoto lee Aliniomba na aliamua kupost kuomba msamaha kwangu Na Kwa Kila mtu aliyekuwa anamtukana Na baada ya muda MUHUSIKA NA MZAZI wake walianza kupiga Simu kumwambia afute maana atamkamatisha coz zinaonyesha anamtuma atukane ndo hizo VN ambazo walitaja Hata majina Yao(hyo namba Hata ukipiga true caller inakupa jina mana ilibidi nifanye hvyo kwanza kabla ya yote ili Kuwa Na uhakika Na information zake huyo Kijana)Nia haikuwa zisambae Ila nilitaka evidence Tu ili
Hata nikipata nafasi ya kumuuliza nimuulize Kwann anatuma watu wanitukane Na kunilinganisha nae…ifahamike yeye Na baba mtoto wake waliachana Kwa sababu zao Na wote wawili wanajua mara zote huwa sielewi kuusishwa kwangu Kwenye Hilo but still niliamua kunyamaza Leo mapema nimefanya uamuzi WA kumtumia muhusika MSG Kwa namba yake nyingine(Kama atakana Na hyo namba sawa)sitoongelea popote tena hii issue
Kama Kweli Mimi ndo nime Fake/Au nimetuma watu WA Fake hizo chats Na hyo namba Sio yake basi ANISAMEHE SANA Ila Kwenye Moyo wake anajua UKWELI Ipo Siku atakiri Kwa kinywa chake mwenyewe Hata Kwa MUNGU wake Tu inatosha Kama ataamua kuendelea mm nitakuwa mtizamaji mzuri Tu.”
Unadhani maneno hayo yanahusiana na ugomvi wa Lulu na Hamisa Mobetto?
0 comments:
Post a Comment