SNURA Mushi mwigizaji wa filamu na mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya
amewaambia waigizaji wa kike wasiwe tegemezi kwa kufanya kazi
zinazoandaliwa na watayarishaji wa kiume wakati nao wanaweza
kuetengeneza filamu.
SNURA Mushi
“Jamani tuamke na kufanya kazi zetu kama watayarishaji wa kike maana wanaume wanatuona kama hatujielewi na tunawategemea wao waandae kazi tucheze sisi hatuwezi kuwachezesha wao?,”anauliza Snura.
Snura anasema kuwa anaamini iwapo wataungana na kuandaa filamu ya kuwashirikisha nyota wote wa kike lazima kazi hiyo itauzwa sana sokoni na kutoa njia kwao kama waigizaji wa kike kusimama kama
watayarishaji tofauti na ilivyo sasa waandaaji wengi ni wa kike.
FC
0 comments:
Post a Comment