Home »
Burudani
» Kajala>>>>Nataka Kuzaa Mtoto wa Kiume.Fahamu zaidi hapa.
Kajala na Mwanae Paula
“Nahitaji kuzaa mtoto wa kiume ili Pamela naye ajivunie kuwa na kaka,
siku zote nilitamani nipate watoto wenye jinsia tofauti, tayari ninaye
wa kike sasa ni zamu ya kumpata mwingine wa kiume.” Ni kauli ya Kajala
Masanja mwanadada anayefanya vyema kwenye soko la filamu nchini.
Kauli hiyo ya Kajala imekuja siku chache baada ya kuulizwa na Global
Digital kama ana ndoto za kupata mtoto mwingine siku za hivi karibuni
wakati mumewe akiwa bado yupo gerezani.
Mwanadada huyo alifunguka zaidi na kusema, “Hakuna mwanamke asiyependa
kuwa na mtoto wa kiume japokuwa mtoto ni mtoto, na nipo tayari kuzaa na
mwanaume yeyote aliye tayari na anayejitambua na kuwa tayari kuitwa baba
na kugharamia gharama za matunzo ya mtoto kwa kushirikiana.”
Alisisitiza.
Related Posts:
Mke wa Mzee Majuto: Namuombea Sana Mume Wangu Apone Maana Ndiye Furaha Yangu.
MKE wa mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athuman ‘Majuto’, Aisha Yusuf
amesema kuwa siku za hivi karibuni alipoanza kuugua tena mumewe amekuwa
akikesha na kumuombea arudi katika hali ya kawaida kwani anapoumwa vitu
vyote v… Read More
Mwana Aipongeza Serikali "Nguo za Heshima Ndio Kila Kitu".
MWANA-DASHOSTI wa Bongo Movies, Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ amefunguka kuwa kitendo cha Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza kupiga marufuku mastaa wa kike kujiachia nusu utupu, ndiyo kila kitu ka… Read More
Daimond, Hamisa Mobetto Warudi Tena Mahakamani Kuweka Kumbukumbu za Kumtunza Mtoto Wao.
February 13, 2018 stori inayoshika headlines ni ya Kimahakama ambapo Nyota wa muziki wa Bongo fleva na President wa WCB, Diamond Platnumz na Mwanamitindo Hamisa Mobetto wamerudi tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu k… Read More
Wema Sepetu na Diamond Watinga Mahakamani Kisutu.
KISUTU: Msanii Wema Sepetu leo amefika Mahakamani kufuatilia kesi yake ya kukutwa na msokoto wa Dawa za Kulevya aina ya Bangi
Wema amefika Mahakamani hapo akiwa na Wakili Albert Msando aliyetangaza kumtetea baada ya Waki… Read More
Huu Hapa Ujumbe wa Zari Baada ya Picha za Hamisa Mobetto na Videographer wa Diamond Kusambaa.
Baada ya muimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz na mzazi mwenzake Hamisa Mobetto kufikishana Mahakamani wiki iliyopita inadaiwa kuwa mambo yao yapo sawa kwa sasa na wamemaliza tofauti zao, hiyo ni baada ya kusambaa kwa pic… Read More
0 comments:
Post a Comment