Thursday, 11 August 2016
TAZAMA PICHA MPYA ZA MREMBO AGNES MASOGANGE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Related Posts:
Kesi ya Wema Sepetu Imetajwa Tena Leo Mahakamani na Haya Ndiyo Maamuzi Yaliyotolewa. Kesi ya kukutwa na dawa za kulevya inayomkabili Wema Sepetu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirishwa hadi Julai 10. Wema ambaye ni mshindi wa taji la urembo, maarufu Miss Tanzania kwa mwaka 2006 na msanii wa… Read More
Nisha Adaiwa Kula Makombo ya Shilole...Adai Kuishi na Bwana Aliyetemwa na Shilole. STAA wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ anadaiwa kuwa kwenye mahaba motomoto na aliyekuwa mpenzi wa msanii mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ anayejulikana kwa jina la Boy Caro. Chanzo makini kililieleza Risasi Ju… Read More
Kalapina Awataka Wale Waliomteka Roma Mkatoliki Wakamteke na Yeye ili Awaonyeshe Kazi. Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mmoja wa Watu wanaoaminika kuwa ni Mbabe kama siyo Mtemi na Ngumi Jiwe wa kutukuka Kalapina jana wakati akihojiwa na Kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds fm aliamua kutema nyongo / k… Read More
Siri ya Rayvanny na Jason Derulo yafichuka. Rayvanny ameonekana kuanza kutumia fursa vizuri baada ya kukutana na Jason Derulo nchini Kenya kwenye Coke Studio. Msanii huyo wa WCB alionekana akiwa karibu zaidi na Jason kwenye ukumbi wa hoteli ya Stanley iliyopo… Read More
Ebitoke Anaendeleza Maajabu yake Juu ya Ben...Afunguka Mengine Redioni. Huyu Binti Ameshangaza Wengi Baada ya Kuweka hisia zake wazi kuwa anampenda Ben Pol na Anataka awe mke wake.... Msikilize Hapa Alichosema redioni: Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment