Friday, 16 September 2016

#BURUDANI>>>>HUYU NDO MSANII ALIYE CHORA TATOO KWA JINA LA RAIS MAGUFULI KIFUANI MWAKE.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Msanii MossRed wa Tanzania anayeishi Afrika Kusini , amejichora tattoo ya jina la Rais Magufuli akionyesha mapenzi yake kwake na Kazi anayofanya kwa nchi Yetu Tanzania.


Msanii huyu anaishi Afrika Kusini.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment