Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Naongoza kwa Kutukanwa Kwenye Muziki, Lakini Najivunia Kuupeleka Muziki Sehemu Fulani – Ruge.Fahamu zaidi hapa.
Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi Clouds Media Group, Ruge Mutahaba
amesema yeye ni mtu ambaye anaongoza kwa kutukanwa katika tasnia ya
muziki kutokana na harakati zake za kuupigania muziki.
Akiongea Ijumaa hii katika semina ya wasanii wachanga wa Dodoma
iliyofanyika katika Ukumbi wa Royal Village, Ruge amewataka wasanii hao
kuacha kukata tamaa katika harakati wanazopitia.
“Mimi ni mtu ninaeongoza kwa kutukanwa kwenye tasnia ya muziki,” alisema
Ruge. “Nimetukanwa sana lakini hilo haliniumizi, najivunia kwa kuwa
tumepambana sana kuusimamisha muziki wetu hadi kufika hapa,”.
Ruge Mutahaba ni mmoja kati ya watu waliosaidia kwa namna moja kuchochea
kukuwa kwa muziki wa bongofleva nchini licha ya baadhi ya watu
kutokubali harakati zake.
Related Posts:
HATIMAYE MTANGAZAJI WA CLOUDS FM ZAMARADI AMTAJA BOSS WAKE RUGE KUWA NDO KAZAA NAYE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
ZAMARADI MKETEMA
RUGE MUTAHABA
AKIONGEA KUPITIA KIPINDI CHA TAKE ONE KUPITIA CLOUDS TV,ALIULIZWA
SWALI NA EPHRAHIM KIBONDE AKISHIRIKIANA NA GADNER G HABASH KUHUSU NANI
NI BABA WA WATOTO,NDIPO ALIPOMTAJA RUGE MTAHABA… Read More
Mbasha, Miss TZ Mapenzi Mubashara...!!!!!.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya kuficha uhusiano wao, Mwimbaji wa Gospo Bongo, Emmanuel Mbasha
na Mshiriki wa Miss Tanzania 2008, Jacqueline Chuwa, sasa siyo siri tena
kwani Wikienda lina picha zao mubashara wakiwa kwenye mahaba niue. Mtu
ali… Read More
Wema Aikataa Rasmi CCM Ajiunga Chadema..!!!..Fahamu zaidi hapa.
Hatimaye mwana dada Wema Sepenga ameonesha kwa namna moja ama nyingine
kuamishia majeshi Chadema mara baada ya kuona huko alikokuwa mwanzoni
(CCM)alikuwa hayupo sehemu sahihi
Hapo mwanzoni zilianza kama tetesi l… Read More
Wolper Afunguka Kulewa Pati ya Mtoto wa Diamond..Nillan.Fahamu zaidi hapa.
BAADA ya kuwa ‘topic’ kwenye sherehe ya 40 ya mtoto wa Nasibu Abdul
‘Diamond’, Nillan iliyofanyika hivi karibuni, Muigizaji Jacqueline
Wolper ameibuka na kusema katika maisha yake yote hajawahi kulewa.
Lich… Read More
Jokate akutana na Mastaa Jay Z na Beyonce nchini Marekani.Fahamu zaidi hapa.
Asubuhi
ya leo, mrembo Jokate Mwegelo kutoka nchini Tanzania amepokea pongezi
kutoka kwa watu mbalimbali baada ya kuchapisha picha kwenye kurasa zake
za Insagram na Twitter akiwa pamoja na wanamuziki maarufu duniani.
… Read More
0 comments:
Post a Comment