Siku mbili zilizopita wasanii wa lebo ya WCB, Harmonize, Raymond na Rich
Mavoko waliwasili nchini Kenya kwa ajili ya kufanya show nchini humo
pamoja na kufanya ziara kwenye vituo mbalimbali vya habari vilivyopo
huko.
Wananchi wa mji huo wanaonekana
kuwakubali zaidi wasanii wa Bongo ikiwa ni wiki mbili zilizopita Mr Nice
alifanikiwa kupata mapokezi ya kishindo kwenye mji huo huo. Wasanii hao
walifankiwa kufanya show usiku wa jana, Septemba 2 kwenye ukumbi wa
Home Land Club.
0 comments:
Post a Comment