Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>Mgogoro wa CUF Wachukua Sura Mpya..Mkurugenzi wa Uchumi na Fedha Nusura Kutekwa na Wanachama.Fahamu zaidi hapa.
Filamu ya mgogoro wa CUF sasa imeingia hatua mpya baada ya wanachama
watatu kuhojiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutaka kumteka
mkurugenzi wa uchumi na fedha wa chama hicho, Jorah Bashange.
Chama hicho kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar kimekuwa na mgogoro wa
kiungozi tangu Profesa Ibrahim Lipumba ambaye alijivua uenyekiti Julai
mwaka jana, atangaze nia ya kurejea kwenye uongozi.
Katika tukio la jana linalodaiwa kutokea saa 2.30 asubuhi wakati
Bashange akitoka nyumbani kwake, limeripotiwa kituo cha polisi cha
Buguruni wilayani Ilala.
Kamanda wa Ilala ambayo kipolisi ni mkoa, Salum Hamduni aliiambia Mwananchi kuwa watuhumiwa hao wanahojiwa na polisi.
<<<<DOWNLOAD APPLICTION KWENYE SIMU YAKO HAPA>>>
Related Posts:
Rais Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’, ingia hapa kumpigia kura.
Rais Dkt John Pombe Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year.’
Anachuana na watu wengine wanne wakiwemo: Rais wa Mauritania, Ameenah
Gulib, Mwanzilishi wa Capitec Bank, Michiel Le Roux na Thuli … Read More
#YALIYOJIRI>>>>Tanzania Yapata Mkopo Wenye Masharti Nafuu Wa Zaidi Ya Shilingi Bilioni 300 Kutoka Benki Ya Maendeleo Ya Afrika (Afdb) Na Serikali Ya Korea.Fahamu zaidi hapa.
Benny Mwaipaja, WFM, Seoul, Korea
TANZANIA,
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Korea ya Kusini zimetiliana
saini makubaliano ya pamoja kutekeleza mradi wa ujenzi wa njia ya umeme
gridi ya Kaskazini Magharibi inayoa… Read More
#YALIYOJIRI>>>UJUMBE ALIOANDIKA EDWARD LOWASSA BAADA YA KUTIMIA MWAKA MMOJA TOKEA SIKU YA KUPIGA KURA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Tanzania imetimiza mwaka mmoja tangu ilipofanya uchaguzi wake mkuu
ambapo watanzania walipata nafasi ya kupiga kura kuwachagua Madiwani,
Wabunge na Rais wote wataoliongoza taifa kwa miaka mitano.
Uchaguzi Mkuu ulifanyik… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Vigogo Bandari Kizimbani kwa Rushwa ya Bilioni 8.Fahamu zaidi hapa.
Vigogo
watatu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) akiwemo
aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo, Ephraim Mgawe (62)
wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es
Salaam … Read More
#YALIYOJIRI>>>Serikali Yakanusha Taarifa Iliyosambaa Katika Mitandao Ya Kijamii Kuwa Itaanza Kutoa Ajira.Fahamu zaidi hapa.
1.Ipo taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikimnukuu Waziri wa
Nchi -Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb), kuwa Serikali itaanza kutoa ajira, kupandisha V… Read More
0 comments:
Post a Comment