Monday 5 September 2016

#YALIYOJIRI>>>Mtu 1 amefariki na 5 kujeruhiwa baada ya basi la Hood T477 AXV, kugonga Pikipiki na kupinduka katika eneo la Mambungo.Fahamu zaidi hapa.

Taarifa ya ajali ya basi la kampuni ya Hood likitokea Mbeya kwenda Arusha likiwa linaendeshwa na Maxwell Kindole mwenye umri wa miaka 42. Liligonga pikipiki na kisha kupinduka katika eneo la Mabungo huko Himo Mashariki.
Katika ajali hiyo imeripotiwa kifo cha mtu mmoja na majeruhi watano.

0 comments:

Post a Comment