Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo kinatarajiwa kwenda
Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kupinga uchaguzi wa wabunge wa Afrika
Mashariki kutokana na Bunge kukataa majina yaliyowasilishwa na chama
hicho kwa ajili ya nafasi mbili za Chadema za wabunge wa Afrika
Mashariki kwa madai kuwa chama hicho hakikuzingatia suala la jinsia.
Kwa mujibu wa Chadema kanuni zinataka theluthi moja ya wabunge wote (9)
wa jumuiya hiyo kutoka Tanzania na siyo kutoka kwa kila chama. Kesi ya
msingi itataka tafsiri ya theluthi moja.
Maamuzi hayo yamefikiwa leo usiku na kikao cha wabunge wa Chadema waliokutana mjini Dodoma.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment