Sakata la Picha za Utupu Basata Aitawaacha Mastaa Hawa Salama.
Muda mfupi baada ya Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo,
Juliana Daniel Shonza kumfungia msanii wa filamu na muziki wa Bongo
Fleva, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ kutojihusisha na masuala ya sanaa
ikiwemo ku…Read More
Watu Washtushwa na Muonekano Mpya wa Wowowo la Ruby.
Jana msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Ruby kupitia ukurasa wake wa
Instagram aliposti picha ikimuonesha mwenye umbo kubwa tofauti na
muonekano wake wa siku zote.
Picha hiyo ambayo ni ya kwanza kwa mwaka 2018 kwa msanii h…Read More
Joh Makini Afunguka Uhusiano Wake wa Kimapenzi na Mimi Mars.
Mwamba wa Kaskazini anayesumbua masikio ya wapenda burudani na ngoma ya
'Mipaka' Joh Makini amepangua tetesi za kujihusisha kimapenzi na
mwanamuziki Mimi Mars ambaye pia ni mdogo wake msanii Vanesa Mdee.
Joh Makini amep…Read More
Chege Akiri Kuathirika.
Msanii Mkogwe kutoka TMK Chege Chigunda amekiri kuwa aliathirika
kisaikolojia baada ya kundi la TMK Wanaume Family kuanza kuvunjika.
Chege ametoa kauli hiyo leo akiwa ndani ya Planet Bongo ya East Africa
radio na kusema…Read More
0 comments:
Post a Comment