Tuesday, 11 April 2017

Mwigulu Nchemba Ajibu Kuhusu Madai ya Bashe na Raia Kutekwa.Fahamu zaidi hapa.

Mwigulu anasema kuna vitu vingi, moja ni tofauti kati ya kukamatwa na kutekwa, kama serikali imekukamata itakuwa ni rasmi na njia za wazi itakupa sababu ya kukukamata
..Je Bashe alikamatwa au alitekwa?


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment