Simba Yachoka Uonevu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF,yatuma barua kwa Kamanda Simon Sirro kuomba maandamano ya amani.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Diamond, Samatta Waitwa Marekani Kutunukiwa Tuzo.
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul maarufu Diamond Plutnumz na mwanasoka wa kimataifa, Mbwana Samattapamoja na Watanzania watatu na raia wa Marekani, wameteuliwa kutunukiwa tuzo katika tamasha lililoandaliwa na Watan…Read More
Yondani, Chirwa, Tshishimbi Wapigwa Stop na CAF.
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetoa taarifa kwa klabu za Yanga na Wolaitta Dicha SC ya Ethiopia ambayo imesema wachezaji wanne wa Yanga na wawili wa Wolaitta hawatacheza katika mechi kati ya timu hizo…Read More
Niyonzima Anusurika Kifo Baada ya Kupata Ajali.
KIUNGO wa Simba, Haruna Niyonzima amenusurika katika ajali aliyoipata eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam.Niyonzima amepata ajali hiyo juzi baada ya gari lake kupiga bonde na kupoteza mwelekeo wakati akirejea nyumbani kwake…Read More
0 comments:
Post a Comment