Bei ya Petroli, Dizeli, Mafuta ya Taa zashuka.
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji, (EWURA) imetangaza bei mpya ya
mafuta ya petroli ambayo imeshuka kwa asilimia moja ukilinganisha na bei
iliyotangazwa Juni 7 mwaka huu.
Kuanzia kesho, bei hizo zitashuka na kuuzwa …Read More
DAVID Kafulila Afunguka Haya Kuhusu Escrow.
WAKATI gumzo nchi nzima likiwa ni wizi mkubwa ambao haujawahi kufanyika
wa zaidi ya shilingi bilioni 300 kutoka akaunti iliyofunguliwa Benki Kuu
ya Tanzania (BoT) ya Tegeta Escrow, imeelezwa kuwa baadhi ya wabunge
waliku…Read More
Dawa Mpya ya UKIMWI Yaanza Kutumika Kenya.
Hatimaye
Kenya imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuanza kutumia vidonge vya
ugonjwa wa Ukimwi ambavyo vinaweza kuboresha afya na kurefusha maisha ya
maelfu ya watu wanaosumbuliwa na magonjwa nyemelezi na ambayo
haya…Read More
0 comments:
Post a Comment