Tuesday 4 April 2017

Ukwepaji Kodi: TRA wawashusha Serengeti Boys njiani walipokuwa wakielekea kwa Makamu wa Rais.Fahamu zaidi hapa.

Mamlaka ya Mapato Tanzania Wamewashusha Njiani Timu ya vijana chini ya miaka 17 TRA wakilitaka Basi lililokua limewabeba vijana hao ili kulipiga mnada waweze kulipa deni la kodi.

Ni hatua nzuri kama unashindwa kulipa madeni maana yake umefilisika na kama umefilisika Mali zako zitauzwa na Cha kwanza Kulipwa huwa Kodi kama unadaiwa na Wadai wengine

Hii ni Hatua nzuri na fundisho kwa Taasisi zingine zinazokwepa kulipa kodi na Alarm hii inaonesha kuwa Nchi hii si yawapiga dili tena.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment