Friday 21 October 2016

#BURUDANI>>>>Hawa Ndio Wasanii 3 Ambao Lulu Anawakubali Kwenye Bongo Fleva.Fahamu zaidi hapa.

Msanii mahiri wa filamu Bongo, Elizabeth Michael aka Lulu amewataja wasanii watatu anaowakubali kwenye muziki wa Bongo Fleva.

Muigizaji huyo alikuwa akijibu swali la mmoja wa mashabiki wake kwenye mtandao wa Twitter, lililokuwa linauliza “wasanii gani watatu anaowakubali kwenye Bongo Fleva?”

Lulu alijibu swali hilo kwa kuandika, “Beka, Maua Sama na Alikiba.”

0 comments:

Post a Comment