Sunday 23 October 2016

#MICHEZO>>>Mamelodi Sundwons yatawazwa kuwa mabingwa wapya wa Afrika baada kufunga Zamalek.Fahamu zaidi hapa.

Pamoja na kufungwa 1-0 leo hii vs Zamalek, klabu ya Afrika ya kusini ya Mamelodi Sundwons leo imetawazwa kuwa mabingwa wapya wa kombe la Mabingwa wa Afrika baada ya kupata ushindi wa jumla wa magoli 3-1 vs Mafarao.

0 comments:

Post a Comment