Sunday 23 October 2016

#YALIYOJIRI>>>Vyombo vya Habari vya ITV, EATV na Channel Ten Kuzuiwa Kuripoti Uchaguzi wa Meya Kinondoni.Fahamu zaidi hapa.

Vyombo vya IPP Media na Channel ten vimezuiwa kuripoti tukio la upigaji kura wa meya wa Manispaa ya kinondoni kwa maelezo ya mkurugenzi wa manispaa kupokea maelezo kutoka juu.

Vyombo vilivyo ruhusiwa ni Uhuru media, Clouds media na Star tv
Chanzo:EATV habari

0 comments:

Post a Comment