Friday 21 October 2016

#MICHEZO>>>>EXCLUSIVE: MAHAKAMA YAPIGA STOP MKUTANO WA DHARURA WA YANGA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

MWENYEKITI WA YANGA, YUSUF MANJI
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu, imezuia kufanyika kwa mkutano wa dharura wa Yanga uliopangwa kufanyika keshokutwa Jumapili.


Taarifa za uhakika zimeeleza zuia hilo limefanyika jioni hii na tayari Yanga kama klabu, mwenyekiti wake Yusuf Manji na kampuni ya Yanga Yetu Ltd, wamefikishiwa taarifa hiyo.

0 comments:

Post a Comment