Ligi kuu Tanzania (VPL) iliendelea jana, pale uwanja wa taifa
palichimbika mechi kubwa kati ya SIMBA SC wakitoshana nguvu na AZAM FC
na matokeo hadi kipyenga cha mwisho ni suluhu. Hebu cheki kosa-kosa hizo
hapo. Picha za video kwa hisani ya AZAM TV.
0 comments:
Post a Comment