Home »
Burudani
» Baada ya TID Kumwita Bill Nas Chawa…Bill Nas Afunguka na Kusema Haya Kuhusu TID.Fafamu zaidi hapa.
Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Bill Nas amesema
TID ni mtu muhimu sana kwake kwani ana mchango mkubwa kwenye maisha yake
na muziki wake kiujumla.
“TID ni mtu ambaye mi namuheshimu sana, ana mchango kwenye muziki
wangu na mambo mengine, hata leo unaposikiliza ligi ndogo ni kati ya
chorus kali sana ambazo mi naziheshimu sana, lakini kuhusu kutoka radar
na vitu vingine, nilikuwa nataka nikutane naye mwenyewe kama
mwanafamilia, kwa sababu naona ishu inaenda kwenye media”, alisema Bill
Nas.
Pia Bill Nas amesema hali hiyo inamuumiza hata kikazi pia, lakini
ilimpasa kuondoka Radar, kwani muda wake wa kuwepo hapo ulishaisha.
“Kwa namna moja au nyingine hata mimi inanifrustrate sana kwa sababu
kuna vitu vingi nataka kuvifanya, vitu vingi nataka kuviweka sawa, sasa
ishu kama hii inaleta mkanganyiko fulani, lakini muda wangu mimi radar
uliisha, natakiwa kufanya vitu vyangu vingine”, alisema Bill Nas.
Hivi karibuni Bill Nas aliamua kuachana na Radar entertainment ambayo
ipo chini ya TID, bila kutoa taarifa kwa msanii huyo, ambaye amechangia
kwa kiasi kikubwa kufika alipo sasa.
Related Posts:
EXCLUSIVE VIDEO: Mume mpya wa Flora afunguka.
Daud Kusekwa ndio jina la Mume mpya wa Mwimbaji wa nyimbo za Injili
Madame Flora (zamani Flora Mbasha) ambapo ndoa yao wameifunga mwishoni
mwa April 2017.
Baada ya Daud kuona mitandao inavyosema na watu wanavyokosoa muu… Read More
PROF Jay Awakilisha Kilio cha Wasanii Bungeni..Aichoma Mkuki wa Moyoni CCM.
Mbunge wa jimbo la Mikumi Mh. Joseph Haule amefunguka na kuitaka serikali kuwekeza fedha za kutosha katika Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ili wizara hiyo iweze kuwekeza katika sanaa na kuacha kuwatumia wasan… Read More
WAFAHAMU Wasanii Wanaoingiza Pesa Nyingi Afrika Kwa Mujibu wa Forbes.
Jarida la Forbes Africa la mwezi May 2017 limeandaa list ya wasanii 10 wanaoingiza pesa nyingi zaidi Africa.
List hiyo ambayo inaongozwa na msanii wa Nigeria, Akon na nafasi ya pili ikichukuliwa na producer na msanii wa … Read More
Mbunge: TRA inamdai Diamond sh. mil 400.
MBUNGE wa Kinondoni, Maulid Mtulia (Chadema), ameliambia Bunge kuwa
msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul ‘Diamond Platinumz’,
anadaiwa na Mamlaka ya Mapato (TRA) zaidi ya Sh. milioni 400.
&nbs… Read More
MWIMBAJI Kaligraph Jones Wakenya Afuata Nyayo za Ray Kigosi Kwa Kujichubua na Kusingizia Maji.
Jamaa kajichubua siku hizi ,anahojiwa eti anasingizia kwamba siku hizi anaoga vizuri, anakunywa maji masafi kwa wingi, anadrive gari zuri ,ana maisha mazuri kwa hiyo weusi umemkimbia wenyeweKama unakumbuka Ray naye alidai k… Read More
0 comments:
Post a Comment