Achana
na zile habari za itakuwa, sasa Zlatan Ibrahimovich ni mali ya
Manchester United maarufu kama Mashetani Wekundu baada ya kusaini
mkataba wa mwaka mmoja.
Zalatan atakuwa akilipwa pauni 200,000 kwa wiki na kuwa mmoja wa wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi katika Ligi Kuu England.
Cheki picha zake baada ya kutua Man United, rasmi.
#MICHEZO>>>YANGA YAREJEA KILELENI VPL.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Yanga imerejea kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara baada
ya kuifunga mtibwa Sugar kwa goli 1-0 kwenye mchezo uliochezwa kwenye
uwanja wa taifa. Yanga ilienguliwa kileleni mwa ligi na mahasimu wao
Simba takriba…Read More
0 comments:
Post a Comment