Friday 8 July 2016

#MICHEZO>>>>Picha: Muonekano wa ndani wa ofisi ya Jose Mourinho.Fahamu zaidi hapa.

Manager wa Manchester United Jose Mourinho ameamua kuonyesha picha ya ofisi yake mpya huko Carrington baada ya kupost picha hiyo kwenye account yake ya Instagram

Ni chumba chenye madirisha sawa na ukuta unaoonyesha kiwanja chao cha mazoezi, Mourinho akiwa amekaa kwenye baiskeli ya kuzuka hapo hapo huku akiangalia TV inayoonyesha kapteni wake mpya wa timu hiyo Wayne Rooney. Kwa pembeni unaweza kuona pia vyeti vyake alivyopata katika Guinness World Records ambazo zote alizipata akiwa bado yuko Chelsea.

0 comments:

Post a Comment