Home »
Habari Moto
» PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA ZIARA YA RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wakati
wa dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia Rais wa Rwanda Paul Kagame Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Rwanda Paul Kagame akizungumza na wageni
mbalimbali katika dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais Dkt.
John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na Waziri Mkuu mstaafu Salim Ahmed Salim Ikulu
jijini Dar es Salaam mara baada ya kumalizika kwa dhifa ya kitaifa
aliyomwandalia Rais wa Rwanda Paul Kagame.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan
Mwinyi Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kumalizika kwa dhifa ya kitaifa
aliyomwandalia Rais wa Rwanda Paul Kagame.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mawaziri wakuu wastaafu, Jaji Joseph Sinde
Warioba na Salim Ahmed Salim Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya
kumalizika kwa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Rais wa Rwanda Paul Kagame,
Kulia ni mke wa Rais Mama Janeth Magufuli.
Kijana
Omar Abdalah Ramadhan akimsalimia kwa furaha Rais Dkt. John Pombe Magufuli
katika viwanja vya maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Kijana Omar Abdalah Ramadhan akimsalimia kwa furaha
mama Janeth Magufuli mara baada ya Rais wa Rwanda Paul Kagame kuondoka kwenye
viwanja vya maonesho ya sabasaba jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Related Posts:
Tundu Lissu akamatwa na Jeshi la Polisi.Fahamu zaidi hapa.
TUNDU
Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika Kituo Kikuu
cha Kanda Maalumu ya Dar es Salaam
“Nashikiliwa
na polisi hapa Kituo Ki… Read More
Azikwa kaburi moja na Kondoo, Iringa.Fahamu zaidi hapa.
MAMIA ya wakazi wa kijiji cha Mbigili na
mji wa Ilula katika wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa jana walifurika
katika mazishi ya aina yake yaliy… Read More
Mvua kubwa na upepo mkali vimesababisha uharibifu wa mali na kupelekea mtu 1 kupoteza maisha huko ILEJE, SONGWE.Fahamu zaidi hapa.
ILEJE, SONGWE: Mvua kubwa na upepo mkali vimesababisha
uharibifu wa mali na kupelekea mtu 1 kupoteza maisha na kadhaa
kujeruhiwa.Mvua za mwaka huu katika Wilaya hiyo ni chache lakini
ni hatari sana kwani tukio hilo la M… Read More
Godbless Lema augua ghafla gerezani......ashindwa kufika mahakamani Kusikiliza Kesi Zinazomkabili.Fahamu zaidi hapa.
Kesi
iliyokuwa isikilizwe 21 Disemba 2016 inayomkabili Mbunge wa Arusha
Mjini, Godbless Lema pamoja na mkewe, Neema Lema wakituhumiwa kumtukana
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo imeahirishwa kutokana na hali ya
Godb… Read More
Wakulima wakutwa na kilo 5,000 za bangi.Fahamu zaidi hapa.
POLISI mkoani
Morogoro wakishirikiana na kikosi kazi cha taifa cha kupambana na dawa
za kulevya wamekamata tani tano za bangi, mbegu zake zaidi ya kilo 300
na nyara za serikali yakiwemo magamba 42 ya mnyama adimu kakaku… Read More
0 comments:
Post a Comment