Miongoni
mwa vitu vinavyozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na picha
zinazomuonyesha Masanja Mkandamizaji akimvisha pete msichana anaedaiwa
kuwa mchumba wake,kwenye picha hizo Masanja na mchumba wake huyo
wanaonekana wakiwa kanisani na baadhi ya waumini akiwemo Mc Pilipili na
Emanuel Mbasha.
Hapo chini kuna video ambazo zimewekwa na Mc Pilipili zikionyesha mazingira halisi ya namna shughuli hiyo ilivyokuwa.
ALIYEMPIGA CHENGA MAGUFULI, ANASWA TRA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Nyumba
hii ndiyo Ofisi ya Bosi ambayo hutumika kuweka bidhaa kabla ya
kusambazwa sokoni iliyopo Somanga njia nne eneo la Kikanda Wilaya ya
Kilwa mkoa wa Lindi.
Na Mwandishi Wetu-Kilwa.
Siku
ya tarehe 6/4/2016…Read More
0 comments:
Post a Comment