Thursday, 4 August 2016

#MICHEZO>>>Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva akamatwa na Takukuru.Fahamu zaidi hapa.

Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru).

Taarifa zinaelezwa kuwa Takukuru wanamshikilia Aveva kwa tuhuma za rushwa ingawa haijaelezwa ni tuhuma zipi.

Habari za uhakika zinaeleza, Aveva amekamatwa jana na amelala katika moja ya vituo vya polisi jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment