Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Alikiba Aelezea ‘King Kiba’ ilikotokea, Adai si Mtu wa Maringo.Fahamu zaidi hapa.
Alikiba ametoa ufafanuzi wa wapi #KingKiba ilitokea kiasi cha kuitumia katika sehemu nyingi.
Akiongea kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz kilichoruka Alhamis hii kupitia EATV, Kiba alisema ni mashabiki ndio waliombatiza.
“Wakati nimepumzika kwenye muziki kulikuwa kuna vitu vingi
vinavyoendelea, kuna watu walikuwa wanaongea kwenye social media. Kuna
watu walikuwa wananifikia sababu wanapajua nyumbani wakasema ‘au
tuanzishe kampeni’ wakaanzisha mimi najua masihara,” alisema.
“Kiukweli walichokuwa wanacomplain, kwanini Ali hutoi nyimbo, uko wapi,
kuna watu wakaanzisha Bring Back Our Alikiba. Ndio ikaanzia pale watu
wakaanza kuniita King Kiba kwasababu hata kwenye show pale wakawa
wananiita hivyo,” aliongeza.
“Nikaona sawa haina shida, kila kitu ikawa hashtag #KingKiba, lakini sikufikiria kujiita hivyo.”
Kwa upande mwingine muimbaji huyo wa Aje alisema kuwa kutomfollow mtu
yeyote Instagram haimaanishi kuwa anaringa.“Nimeacha kufollow watu
[Instagram] nikiwa na watu 50k,” alieleza.
“Nilikuwa nataka nione, nimekuja kwenye muziki, je nina fans wangapi
watanifollow mimi nikiwa kama AliKiba na kuangalia kazi zangu. Nilikuwa
nasikia watu wanasema naringa na nini, lakini nilisema kwamba
nitawafollow watu baadaye.”
Related Posts:
Hatarii..Siwema Amvua Nguo Hadharani Nay wa Mitego ,Aanika Siri Zake Zote.Fahamu zaidi hapa.
MZAZI mwenziye na Mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’,
Siwema Hudson amesema kitendo cha serikali kumpa kashikashi kutokana na
wimbo wake wa Wapo hakikumshangaza kwani alitarajia hayo yatokee kwa
kuwa z… Read More
Kimenukaa..Nay wa Mitego Akataa Ombi la Rais Magufuli la Kuubadili Wimbo wa 'Wapo' Adai Liwalo na Liwe.Fahamu zaidi hapa.
Msanii Nay wa Mitego ambaye mwisho wa wiki amekutana na Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amefunguka na
kushukuru kukutana na Waziri mwenye dhamana na kusema kwa sasa hakuna
anachoweza… Read More
Huyu Ndiye Mwakyembe Bwana..Soma Hapa Maneno Aliyompokea Nayo Nay a Mitego Baada ya Kufika Dodoma…Lazima Ucheke Aisee.Fahamu zaidi hapa.
Rapper Nay wa Mitego, Alhamis hii aliitikia wito wa Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe kukutana
naye mjini Dodoma kwaajili ya kuzungumza namna ya kuuboresha wimbo wake
Wapo ambao licha… Read More
Baada ya Harmorapa..Sasa Kuna Wemarapa..Adai Wema Anajipendekeza Kwake Ila Hana Mpango Nae.Fahamu zaidi hapa.
Kuna imani kuwa duniani wawiliwawili! Hii inajidhihirisha kwa mwanadada
Lisa Deedee `Tuerny’ ambaye amejipatia umaarufu mitandaoni kutokana na
kufananishwa na staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu.
Kupitia gazeti hil… Read More
Skendo Zampa Stress Davido, Alazwa Hospitali.Fahamu zaidi hapa.
MKURUGENZI wa Lebo ya HKN, David Adeleke ‘Davido’ amekimbizwa hospitali
na kulazwa huku chanzo kikidaiwa kuwa ni ‘stress’. Tukio hilo limejiri
juzikati ambapo inaelezwa kuwa, Davido amekuwa akisumbuliwa na skendo
inayozi… Read More
0 comments:
Post a Comment