Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Shilole Aeleza Kilichomsukuma Kupatana na Nuh Mziwanda.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya hivi karibuni Sholole na Nuh Mziwanda kupatana, Shilole
amefunguka na kuzungumzia nini kimemsukuma mpaka akapatana na mkali huyo
wa wimbo ‘Jike Shupa’.
Wawili hao ambao walikuwa wapenzi waliachana kwa kutupiana maneno huku
Nuh Mziwanda akionekana kumlaumu Shilole kwa kumpotezea muda.
Akiongea na Uhead ya Clouds FM Ijumaa hii, Shilole amedai ameamua
kumaliza tofauti zake na Nuh Mziwanda kwa kuwa muimbaji huyo wa ‘Jike
Shupa’ alikuwa anapoteza kujiamini pale anapokutana naye.
“Nikwambia kitu situation moja ambayo ipo, Nuh akiniona mimi huwa
anapoteza kujiamini,” alisema Shilole. “Sasa ili kumueka sawa na aweze
kuwa vizuri lazima na mimi nimwonesha am good. Kwa hiyo alivyoniona nipo
good na yeye akawa fresh na furaha imerudi na nazani maisha
yanaendelea,”
Hata hivyo mkali huyo wa wimbo ‘Say My Name’ alikanusha kurudiana na Nuh Mziwanda huku akidai kwa sasa wao ni washkaji.
<<<<DOWNLOAD APPLICTION KWENYE SIMU YAKO HAPA>>>
Related Posts:
#BURUDANI>>>>WEMA Sepetu Akunwa na Wimbo wa Diamond 'Salome' Ajirekodi Akiimba, Diamond Asema Haya.Fahamu zaidi hapa.
Malkia wa filamu Wema Sepetu amekunwa na wimbo mpya wa Diamond Platnumz
‘Salome’ na kuamua kujirekodi video huku akiimba wimbo huo.
Diamond alipost video instagram inayomwonyesha mwigizaji huyo akiimba
wimbo ‘Salome’ huk… Read More
#BURUDANI>>>>Dongo la Diamond Lamtoa Mapovu Aliyekuwa Mume wa Zari Ivan....Meseji zavuja Zari Akimuomba Msamaaa.Fahamu zaidi hapa.
Hali ni Tete Madale....Dongo la Diamond aliloandika kuhusu wale
wanaojisifu kuwa wanahela lakini watoto wao wanaishi kwenye nyumba ya
kupanga limemfikia mwenyewe ambae ni mume wa dhamani wa Zari aitwaje
Ivan , Nime… Read More
#BURUDANI>>>>Queen Tipha afunguka baada ya mpenzi wake, Ben Pol kuonekana kwenye picha akibusiana na Snura.Fahamu zaidi hapa.
Latifa Mohamed aka Queen Tipha amefunguka baada ya kusambaa mitandaoni
picha za mzazi mwenzake, Ben Pol akionekana wakibusiana na Snura wakati
walipokuwa mkoani Tabora kwa ajili ya tamasha la Fiesta.
Queen Tipha amekiamb… Read More
#YALIYOJIRI>>>Nay wa Mitego Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Toka Shamsa Ford Kuelewa na Mwanaume Mwingine...Adai Alimwambia Anaenda Kuolewa.Fahamu zaidi hapa.
Akizungumza
katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Ijumaa hii, Nay Wa Mitego amesema
Shamsa ni ‘wife material’ hivyo anamtabiria kudumu katika ndoa yake.
“Ndoa ni kitu cha heri lakini sometime watu wanaweza wakaoana kwa
k… Read More
#BURUDANI>>>>BOSS WA BONGO STAR SEARCH…KUFILISIWA NA TRA…ANADAIWA BILIONI 7 ZA KODI,KAMPUNI YAFUNGWA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Kampuni ya
Udalali ya Yono, wameifungia Kampuni ya Benchmark Productions na kuipa
muda wa siku 14, iwe imelipa deni la kodi ya Sh bilioni 7.04, vinginevyo
mali za kam… Read More
0 comments:
Post a Comment