Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>TAJIRI Steve Nyerere Atangaza Kuoa Januari.Fahamu zaidi hapa.
Msanii mkongwe wa filamu Steve Nyerere aliwasurprise baadhi ya wasanii
wenzake wa filamu katika harusi ya Shamsa Ford baada ya kutangaza anaoa
mwezi januari mwakani.
Akitoa neno kwa niaba ya wasanii wenzake katika harusi ya Shamsa Ford
iliyofanyika Sinza Afrikasana Ijumaa iliyopita, Steve Nyerere
aliwaabarisha wasanii wenzake kuwa ataoa Januari 2017.
“Mimi sina maneno mengi yakusema zaidi ya kuwapongeza na kuwaombea
muishi salama, pia mungu akipenda na mimi nitafunga ndoa Januari,”
alisema Steve.
Baada ya kusema kauli hiyo, kuliibuka shangwe kutoka kwa wasanii ambao walihudhuria ndoa.
Related Posts:
SIO Siri Tena Hamisa Mobeto Aweka Wazi Ujauzito Wake ni wa Diamond Platnumz.Stori ambayo imekuwa ikitrend kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu
Mwanamitindo wa Bongo Hamisa Mobetto kudaiwa kutoka kimapenzi na
Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz huku pia ikielezwa kuwa na
ujauzito wa staa huyo l… Read More
Chid Benz Ageukia Kilimo.
Baada ya kukaa nje ya game la bongo fleva kwa muda, Rapa Chidi Benz
amefunguka na kusema ameamua kujikita kwenye killimo akishirikiana na
mama yake mzazi ili kuweza kujikimu kimaisha.
Leo akiwa kwenye dakika 10 za maanga… Read More
Idris Sultan Apata Shavu la Kucheza Movie Hollywood Marekani.
Baada ya wiki ya mchakato wa usahili, Mshindi wa Big Brother
Africa-Hotshots wa 2014, Idris Sultan ataonekana katika filamu ya
‘Ballin …On the Other Side of the World,’ itayoandaliwa nchini Marekani
chini ya muongozaji H… Read More
MAMENEJA Sallam SK, Babu Tale, Mkubwa Fella, Wamesusa Wasanii wao Wanabanana WCB Kwa Diamond.
Nakumbuka babu tale ndie mwanzilishi na meneja wa tip top connection
kina madee, keisha, tunda, dogo janja etc... naona amekimbia lebo yake
anabanana WCB.
sallam nakumbuka ni meneja wa AY naona kamkimbia anabanana na WCB… Read More
Good News: Ali Kiba Atangazwa Kuwa Mmiliki wa Kampuni ya Rockstar4000.
GOOD NEWS: #DirectorKiba ;
Baada ya kufanya kazi na kampuni ya usimamizi wa kazi zake ya
#Rockstar4000 kwa takribani miaka 6, usiku wa jana King Kiba alitangazwa
rasmi kuwa sehemu ya wamiliki wa kampuni ya #Rockstar4000 … Read More
0 comments:
Post a Comment