Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>JOHN OBI MIKEL ABADILI JINA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
John Obi Mikel ameamua kubalisha jina lake. Jina lake halisi alikuwa
anaitwa Michael John Obi, lakini Shirikisho la Soka nchini Nigeria kwa
bahati mbaya walikosea herufi wakati wakimwandikisha jina lake katika
kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 cha nchi hiyo mwaka
2003.
Waliandika Mikel badala ya Michael, hivyo Obi alimua kutumia jina hilo mpaka alijiunga na Chelsea mwaka 2006.
Taarifa zilizoenea leo zinaeleza kwamba, sasa Mikel ambaye hapo awali
alikuwa akiitwa John Michael Nchekwube Obinna, amebadili jina rasmi na
atakuwa akiitwa ‘Michael John Obi’.
Related Posts:
#MICHEZO>>>>SIMBA NA WATOZA KODI WA UGANDA NGUVU SAWA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Wekundu wa Msimbazi Simba leo wamelazimishwa sare goli 1-1 kwenye mchezo
wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya URA ya Uganda uliochezwa kwenye
uwanja wa taifa.
URA walianza kupata bao lililofungwa na Nkugwa Elka… Read More
#MICHEZO>>>Olimpiki: Brazil Yaingia Nusu Fainali Kwenye Soka la Wanaume.Fahamu zaidi hapa.
Timu ya soka ya wanaume ya Brazil, imeingia nusu fainali ya michuano ya Olimpiki baada ya kuwachapa Colombia, 2-0.
Goli la kwanza lilifungwa na mchezaji wa Barcelona, Neymar baada ya
kupiga free-kick dakika 12 tu baada ya… Read More
#MICHEZO>>>>MEDEAMA YAITWANGA TP MAZEMBE, YANGA HAINA CHAKE KOMBE LA SHIRIKISHO.FAHAMU ZAIDI HAPA.
TP Mazembe imekubali kipigo cha mabao 3-2 ikiwa ugenini dhidi ya Medeama katika mechi ya Kombe la Shirikisho, leo.
Ushindi
huo wa Medeama, maana yake imefikisha pointi 8 ambazo haziwezi kufikiwa
na Yanga huku Mazemb… Read More
#MICHEZO>>>MANCHESTER UNITED KUANZA EPL KWA KUTOA KIPIGO CHA 3-1 KWA BOURNEMOUTH.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Bournemouth (4-3-3):
Boruc 5.5; Francis 4.5, A. Smith 6.5, S. Cook 5.5, Daniels 5.5; Surman
5.5, Arter 6, L. Cook 6 (Gradel 82); Ibe 6.5 (Afobe 68, 6), Wilson 5.5
(Grabban 68, 6), King 6.
Subs not used:&n… Read More
#MICHEZO>>>Usain Bolt ameandikisha historia ya kuwa mwanariadha wa kwanza kushinda dhahabu kwa mara ya tatu mfululizo.Fahamu zaidi hapa.Mwanariadha wa Jamaica, Usain Bolt, ameandikisha historia ya kuwa
mwanariadha wa kwanza kushinda nishani ya dhahabu kwa mara ya tatu
mfululizo, katika mbio za mita mia moja, kwenye michezo ya olimpiki ya
Rio 2016.
Bolt, … Read More
0 comments:
Post a Comment