Home »
Burudani
» Miss World Kenya Apokonywa taji lake Kama Miss Sitti Mtemvu.Fahamu zaidi hapa.
Aliyekuwa mshindi wa tuzo la Miss World Kenya 2016 , Roshanara Ebrahim, amepokonywa taji lake baada ya kukumbwa na sakata .
Kulingana na gazeti la The Standard nchini Kenya,Roshanara mwenye umri
wa miaka 23, alishinda taji la mwaka uliopita na alikuwa anatarajiwa
kuiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya Miss World, mwishoni mwa mwaka
huu.
Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, wasimamizi wa Miss World Kenya, kampuni ya bidhaa za urembo, Ashleys imeandika,
'Kuanzia sasa, Roshanara hatoiwakilisha Kenya nchini na hata kimataifa
kama Miss World. Tumefahamishwa kuhusu sakata kubwa inayomkumba
Roshanara Ebrahim, ambayo inakiuka sheria na masharti ya Miss World
Kenya. Tunatekeleza sheria zetu na tunatarajia wanamitindo wetu
kusimamia maisha yao ya kibinafsi.
Kulingana na gazeti hilo , Roshanara ameandika kukubaliana na uamuzi huo
na kuwasihi warembo wenye umri mdogo kuhakikisha maisha yao ya
kibinafsi, hayaathiri jukumu lao la Miss World.
''Nakaribisha uamuzi wa ofisi ya Miss World Kenya kunipokonya taji la
Miss World Kenya kwa masikitiko makubwa, namtakia atakayechukua nafasi
yangu kila la heri.
Kabla ya uamuzi wa ofisi ya Miss World Kenya, Roshanara alilazimika
kujitetea dhidi ya madai yaliomhusisha kuwa na uhusiano na mwanasiasa
mashuhuri.
Tayari ofisi ya Miss World Kenya, imeahidi kumtangaza mwanamitindo
atakayejaza pengo lililoachwa na Roshanara Ebrahim siku chache zijaazo.
Roshanara anayesomea uwakili, anatarajiwa kuendelea na shughuli zake za
kuwasaidia watoto walio na mpasuko wa mdomo, yaani 'cleft.
Related Posts:
RICH Mavoko Atoa Povu Kwa Wanaosema Amekosea Kujiunga na Lebo ya Diamond WCB.Fahamu zaidi hapa.
Muimbaji wa Kokoro, Rich Mavoko amedai kuwa kama bado kuna watu wanaona
uamuzi wake wa kusainishwa na label ya Diamond, WCB ni kujishusha sababu
yeye ni msanii mkubwa, hawaijui biashara yake.
“Mimi nakutana vitu vingi,… Read More
Hussein Machozi Afunguka Mazito...Adai Watu Wake wa Karibu Wanataka Kumpora Mke Baada ya Kushuka Kisanii.Fahamu zaidi hapa.
Kwa
msanii au mtu maarufu, kinga pekee inayomsaidia kuendelea kuwa na
heshima yake, ni kuwa na wimbo unaofanya vizuri ama kuwa na fedha.
Anapokosa
hivyo, mambo hubadilika na hapo ndipo ule usemi wa Fid Q kuwa usupasta… Read More
Steve Nyerere, Mama Wema Wafika Pabaya.Fahamu zaidi hapa.
DAR ES SALAAM: Hapatoshi na joto la ugomvi linazidi kupanda kila kukicha
kufuatia mama wa mwigizaji Wema Isaac Sepetu, Mariam Sepetu kuingia
kwenye mgogoro mzito na Mwigizaji Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Wawili
h… Read More
Mwanamuziki Barnaba Apata Pumziko Jingine Baada ya Kuachana na Mkewe.Fahamu zaidi hapa.
Haya sasa Barnabas Naye ameanza taratibu kutuonyesha MTU wake ama Nene?
Kama wengi mjuavyo Mwanamuziki Barnaba alizenguana na mkewe na kuachana
ambapo aliyekuwa mkewe Siku ya Valentine day alionyesha ulimwengu kuwa
AME m… Read More
CHADEMA Wamwandalia Sherehe Wema Sepetu.......Wapambe Wake 500 Wanaomuunga Mkono Kumfuata.Fahamu zaidi hapa.
Chama
cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), kimesema kipo kwenye maandalizi
ya kumkabidhi kadi mrembo wa Tanzania mwaka 2006, Wema sepetu, pamoja na
kundi lake lenye zaidi ya watu 500.
Wema
alikuwa mmoja kati ya wan… Read More
0 comments:
Post a Comment