Home »
Habari Moto
» Picha za utupu za kisagaji za mke wa Donald Trump zasambaa.Fahamu zaidi hapa.
Gazeti la New Daily News limechapisha picha za utupu za mke wa mgombea
urais wa Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump, Melania.
Limeandika kuwa miaka mitatu kabla ya kukutana na mume wake, Donald
Trump, Melania alipiga picha za utupu na mrembo mwingine kwaajili ya
jarida la Ufaransa.
Picha hizo za kisagaji zilipigwa huko Manhattan mwaka 1995, kipindi
hicho akiitwa Melania Knauss, mwenye umri wa miaka 25 na alikuwa
akitumia jina la “Melania K.”
Baadhi ya picha hizo ziliwekwa kwenye jarida la Max la Ufaransa, zaidi
ya miaka 20 iliyopita. Baadhi yake hazijawahi kuchapishwa hadi sasa.
Picha kali zaidi inamuonesha Melania akiwa amelala kitandani na mlimbwende aitwaye Emma Eriksson, akiwa mtupu pia nyumba yake.
Alipoulizwa kuhusu picha hizo, Donald Trump alisema: Melania was one of
the most successful models, and she did many photo shoots, including for
covers and major magazines. This was a picture taken for a European
magazine prior to my knowing Melania. In Europe, pictures like this are
very fashionable and common.”
Mrembo huyo raia wa Slovenia, mwenye miaka 46 sasa, alikutana na Trump
kwenye hafla ya Fashion Week mwaka 1998. walioana January 2005 na wana
mtoto mmoja, Baron, 10.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Waziri Mkuu Majaliwa Akwama Kuhamia Dodoma.Fahamu zaidi hapa.
SERIKALI Mkoa wa Dodoma imesema Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa atahamia
rasmi mkoani humo mara baada ya kumalizika kwa vikao vya Bunge
vinavyoanza wiki ijayo, Septemba 6.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana alisema ba… Read More
#YALIYOJIRI>>>>>Majambazi Yavamia Chuo Huko Tanga.Mlinzi Auawa, Mabweni Yachomwa Moto.Fahamu zaidi hapa.
Majambazi
zaidi ya 15 yamevamia Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa
(Sekomu) kilichopo Kata ya Magamba, Lushoto mkoani Tanga na kuua mlinzi
mmoja, kumjeruhi mwingine baada ya kumpiga risasi begani, kuchoma
ma… Read More
#YALIYOJIRI>>>Rais Magufuli ataka Jecha apewe Tuzo ya heshima .Amtaka Dr Shein Apunguze Upole, Watakaomsumbua Awataje Washughulikiwe.Fahamu zaidi hapa.
RAIS
John Magufuli, amemtaka Dk. Ali Mohamed Shein, kumpa tuzo Jecha Salim,
mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar, kutokana na kile alichokiita
kazi nzuri aliyoifanya visiwani humo mwaka jana, kwa kufuta matokeo ya
uc… Read More
#YALIYOJIRI>>>Afikishwa Mahakamani Kwa Kumuita Rais Magufuli ni Kilaza.Fahamu zaidi hapa.
ELIZABETH
Asenga (40), mkazi wa jijini Dar es Salaam amepandishwa kortini jana
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kuandika maneno ya
kumkashifu Rais John Magufuli kupitia mtandao wa kijamii wa What’s A… Read More
#YALIYOJIRI>>>>>Rais Magufuli Awasili Pemba Kwa Ziara Ya Kikazi Ya Siku Mbili.Fahamu zaidi hapa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Asubuhi ya
leo tarehe 02 Septemba, 2016 amewasili Kisiwani Pemba ambapo majira ya
Alasiri anatarajiwa kuzungumza na wananchi wa Pemba katika Mkutano wa
h… Read More
0 comments:
Post a Comment