Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Ujumbe Huu wa Vanessa Mdee Kwa Jux wa Wakuna Wengi.Fahamu zaidi hapa.
Staa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ ametumia fursa ya siku ya
kuzaliwa ya mpenzi wake, ambaye pia ni Staa wa muziki wa R&B hapa
Bongo, Juma Jux kumwandikia ujumbe muhimu kudhihirisha ni kwa kiasi gani
anampenda huku akiutaja wimbo wao wa pamoja, #Wivu kuwa ndiyo nguzo ya
kukutana na kuanzisha uhusiano wao:
Kuoitia ukurasa wake Instagram, Vee Money ameandika;
When we first met I was an upcoming songstress with a fast tongue and
one hit song on the radio. You … well you were pretty much the same.
Your boy asked me if I would spit some bars on your song. I said no.
Then walked into the studio and met you and instantly had a change of
heart. Fast forward to 2yrs later, tumekuwa. You’ve got the biggest song
in the country #Wivu and a multi million dollar brand #AfricanBoy and
as for me well … kitu kimoja hakijabadilika though. Kwako sisikii. Lol!
Lakini hayo yoteee ni mifano tu ya jinsi gani ukiwa na mahusiano na mtu
anayekujenga kifikra na vinginevyo maisha yako yanaweza kukaa sawa.
Siwezi kueleza ni jinsi gani uwepo wako katika maisha yangu
yamenibadilisha na kunikuza na kuniboresha. All things are God’s design.
Namuomba Mungu akuongoze and akupe maisha marefu sana sana sana. Maisha
yenye mafanikio, afya bora na furaha tele. Una moyo wa kipekee sana
tofauti na mtu yeyote ninayemfaham. Nasikitika kuwa mbali na wewe leo
hii lakini unajua nikipata, umepata na tunazidi kwenda #Juu. Oh by the
way kwa mashabiki wetu ngoma yetu ya kwanza ya pamoja inaitwa #Juu 😉
Basi nisaidieni kumtakia mpenzi wangu Heri ya siku ya kuzaliwa.
Related Posts:
Afande Sele Amfananisha Bashite na Tumbili Aliyemaliza Kurukia Miti yote na Sasa Ameamua Kumrikia Anayemfuga.Fahamu zaidi hapa.
Msanii mkongwe wa Muziki wa Bongo fleva Mwana Hip Hop Afande Sele
TheKing ametoa ya moyoni baada ya Kuibuka Tetesi za Uvamizi wa Clouds
Media.Kupitia Ukurasa wake wa Facebook Msanii huyo ambaye ndie mfalme wa
kwanza wa M… Read More
Uuwii...Umemsikia Jike Shupa..Eti Anadai Haogopi Ukimwi 'so' Haoni Shida Kubadili Wanaume Kama 'Chupi'.Fahamu zaidi hapa.
HAMNAZO! Msanii muuza sura katika video za Bongo Fleva, Zena Abdallah
‘Jike Shupa’ ametoa kali ya mwaka baada ya kudai haogopi Ukimwi kwa kuwa
ni ugonjwa wa kawaida, ndiyo maana amekuwa akibadili wanaume ovyo bila
wasiw… Read More
Diamond Aamua Kumchana Makonda Ukweoli wa Moyo Wake.
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Daimond Platnumz’,
amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa jitihada
zake kuhakikisha Dar es Salaam inakuwa salama.
“Kwanza kabisa Nimpongez… Read More
Exclusiveee..Lady Jaydee, Mnigeria Wamwagana....!!!!.Fahamu zaidi hapa.
KIMENUKA! Miezi michache tu baada ya mkongwe wa Muziki wa Afro Pop
Bongo, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ kumtambulisha ‘baby’ wake mpya, raia
wa Nigeria aliyejitambulisha kwa jina moja tu la Spicy, fununu zinadai
kuwa pen… Read More
Baada ya Kusaidiwa Kwenye Nyimbo Yake ya Kwanza,Harmorapa Aaanza Kumpiga Vijembe Juma Nature,Adai Hakumfanyia Poa Hata Kidogo...!!!.Fahamu zaidi hapa.
Msanii Harmorapa amewaomba wasanii wakubwa waliopo kwenye 'game' ya
muziki kuacha tabia ya kuwapiga mkwanja mkubwa 'underground' wakati
wanapoenda kuwaomba kufanya nao 'collabo'
Hayo yamekuja baada ya msanii huyo kuom… Read More
0 comments:
Post a Comment