Ligi
Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea wikiendi hii ambapo kutakuwa na
mechi kadhaa Jumamosi na Jumapili, Simba bado ipo kileleni katika
msimamo wa ligi hiyo ikiwa pointi sawa na Azam FC, jambo zuri ni kuwa
timu hizo zitakutana kesho, hivyo yeyote atakayeshinda atashika usukani.
Msimamo wa ligi hiyo na mechi za wikiendi hii unasomeka hivi:
Friday, 16 September 2016
Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>MSIMAMO & RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA BARA HIVI HAPA, SIMBA BADO IPO KILELENI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
#MICHEZO>>>>MSIMAMO & RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA BARA HIVI HAPA, SIMBA BADO IPO KILELENI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Related Posts:
Hawa ndio wanamichezo Mtajiri zaidi Duniani, Ronaldo na Messi waongoza.Fahamu zaidi hapa. Cristiano Ronaldo raia wa Ureno amezidi kung’ara baada ya jarida la Forbes kutoa orodha ya wanamichezo 100 matajiri duniani na kumweka katika nafasi ya kwanza. Ronaldo ameongoza kwa kuwa na utajiri wa dola milioni 88 am… Read More
#MICHEZO>>>>Maria Sharapova afungiwa miaka miwili kushiriki tennis.Fahamu zaidi hapa. Mchezaji wa wa mchezo wa tenisi,Maria Sharapova, amesimamishwa kushiriki katika mchezo huo kwa miaka miwili mfululizo, hatua hiyo imekuja baada ya nyota huyo kufanyiwa vipimo vya kugundua kama anatumia dawa za kusisimua … Read More
#MICHEZO>>>Timu ya Young African Sports club imeondoka alfajiri ya leo kuelekea nchini Uturuki.Fahamu zaidi hapa. Mbele ni Deusi Kaseke na Nyuma yake ni Donald Dombo Ngoma. Julius Nyerere International Airport ( JNIA) , kikosi cha Young African Sports club kimepaa alfajiri ya leo kuelekea nchini Uturuki kwa kmbi ya muda mfupi kabla… Read More
#MICHEZO>>>>>Uongozi Mpya Wa Yanga Watangazwa Baada Ya Kura Zote Kuhesabiwa.Mwenyekiti ni Yusuf Manji, Makamu wake ni Clement Sanga.Fahamu zaidi hapa. Yusuf Manji ameshinda nafasi ya uenyekiti wa Yanga kiulaini kutokana na kutokuwa na mpinzani kwenye nafasi hiyo hivyo kupita bila kupingwa kwenye nafasi ambayo alikuwa akiitetea. Clemen Sanga nae amepenya katika na… Read More
PICHA:9:UCHAGUZI WA YANGA WAKATI WA KUPIGA KURA ULIOFANYIKA DIAMOND JUBILEE.FAHAMU ZAIDI HAPA. Kocha mkuu wa Young African Sports Club Hans van der Pluijm ni miongoni mwa wanachama wa klabu hiyo waliojitokeza kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo unaoendelea katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Uchaguzi wa Y… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment