Nahodha wa Chelsea, John Terry ameanza maandalizi makali kuhakikisha anaivaa Arsenal wikiendi hii.
Terry
amekuwa majeruhi na kuifanya safu ya ulinzi ya Chelsea kukosa
mzoefu.Sasa anapewa mazoezi maalum, ili awe fiti na kuwavaa vijana wa
Arsenal Wenger.
Chelsea
itakuwa dimbani kuwavaa Arsenal na italazimika kufanya vizuri baada ya
kupoteza mechi iliyopita kwa kufungwa na Liverpool.
0 comments:
Post a Comment