Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya
kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikipata saluti ya maji (Water Canon
Salutation) toka kwa magari ya Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mara tu bada
ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere
saa sita na robo juu alama leo Septemba 20, 2016.
20 Septemba, 2016, Ndege mpya ya kwanza iliyonunuliwa na
Serikali kwa ajili ya kutumiwa na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL)
imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere Jijini
Dar es salaam ikitokea nchini Canada ilikotengenezwa.
Ndege hiyo aina ya Bombadier Q400 NextGen imetua majira ya
saa 6:15 Mchana na kisha kupatiwa heshima maalum ambayo hutolewa kwa
ndege yoyote mpya inayotua katika nchi yake (Water Salute).
Baada ya kupokea heshima hiyo, ndege imeegeshwa katika eneo la ndege za jeshi (Airwing Ukonga).
Akizungumza baada ya kuwasili kwa ndege hiyo Katibu Mkuu Uchukuzi
Dkt. Leonard Chamriho amesema ndege ya pili inatarajiwa kuwasili baada
ya wiki moja na kwamba baada ya kuwasili ndege ya pili ndipo yatafanyika
mapokezi rasmi, yatakayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa tarehe itakayotangazwa baadaye.
Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere saa sita na robo juu alama leo Septemba 20, 2016.
Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu, na maofisa wengine wakisubiri kuwasili kwa Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo Septemba 20, 2016.
Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akisalimiana na Rubani aliyerusha Ndege mpya moja kati ya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere saa sita na robo juu alama leo Septemba 20, 2016.
Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu, na maofisa wengine wakiwa kwenye Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo Septemba 20, 2016.
Baadhi ya Maafisa wa Serikali wakiwa kwenye Ndege hiyo.
Rubani wa Ndege hiyo akiweka mambo sawa baada ya kutua.
Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho, Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu pamoja na marubani waliokuja na ndege hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo Septemba 20, 2016.
Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akipeana mikono kwa furaha na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu mara baada ya Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo Septemba 20, 2016.
Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kuwasili kwa Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo Septemba 20, 2016. PICHA NA IKULU

0 comments:
Post a Comment