Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>CHADEMA Wagoma Kuhamia Dodoma, Wadai Hawana Mpango Huo.Fahamu zaidi hapa.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema wazo la kuhamia Dodoma halimo kwenye ajenda zake.
Akizungumza na Mwananchi hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk
Vincent Mashinji alisema chama hicho hakina mpango wa kuhamia Dodoma kwa
sababu hayo ni masuala ya kisiasa yasiyo na msingi kiuhalisia.
“Sisi makao yetu makuu yapo Dar es Salaam, hata katiba yetu ndivyo
inavyosema, tutaendelea kuwa hapahapa. Hayo ni mambo ya kisiasa yasiyo
na misingi ya kiuhalisia, hata mazingira hayaruhusu, kwa hiyo sisi
tutaendelea kuwa hapa (Dar es Salaam),” alisema Dk Mashinji.
Chama cha ACT Wazalendo kilisema kuifanya Dodoma kuwa makao makuu ya nchi ni miongoni mwa ajenda zake.
Related Posts:
Luteni Jenerali Ndomba Amuasa Mnadhimu Mkuuwa JWTZ "Usilete Ukabila".
Mnadhimu Mkuu mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba amefunguka na kumuasa Meja Jenerali, Yakubu Hassan Mohamed ambaye ameapishwa leo Februari 15, 2018 kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Uli… Read More
Kiongozi wa Chadema Auawa Kikatili Mbowe Asimulia Alivyotekwa.
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kiongozi wa chama hicho katika Kata ya Hananasif, Daniel John amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha.Akizungumza na waandishi wa habari jana Februari 13, 2018, Mbowe ali… Read More
Serikali Yataja Maeneo Yanayotumika Kupitisha Dawa za Kulevya.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imebaini maeneo ya bahari kuu, bandari, vituo vya mabasi na viwanja vya ndege ndio yanatumika zaidi kupitisha dawa za kulevya.Amesema wafanyabiashara, wasambazaji na watumiaji w… Read More
Marekani Yatoa Neno Kuhusu Mauaji Yanaoendelea kwa Viongozi wa Chadema.
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umeweka wazi kusikitishwa na taarifa za kutekwa na utumiaji nguvu kikatili uliosababisha kifo cha Katibu wa CHADEMA kata ya Hananasifu Daniel John.
Taarifa hiyo kutoka ubalozi wa Mareka… Read More
Wazanzibar elfu 40 Wafungua Kesi Mahakamani Wakihoji Uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki(EACJ) wakihoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar-Kesi hiyo imefunguliwa katika Masijala ya Mahakama hiyo iliyoko Dar na Rashid Adiy kwa niaba… Read More
0 comments:
Post a Comment