Sunday 4 September 2016

#YALIYOJIRI>>>>MASKINI…HOTELI ZA KIFAHARI ARUSHA ZAANZA KUUZWA KWA KUKOSA WATEJA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Kumekuwa na ongezeko kubwa la hoteli kufungwa nchini huku nyingine zikibadilishwa matumizi na kuwa vyuo, hostel au matumizi mengine.
 
Hali imeendelea kuwa mbaya, hapa inaonekna kuwa Hoteli ya nyota tatu ya Snow Crest iliyopo jijini Arusha itapigwa mnada 23/9/2016 ikiwa ni baada ya kesi iliyoendeshwa kati ya Bodi ya Wadhamini ya NSSF, Hoteli ya Snow Crest na Wildlife Safaris.
 Hoteli ya nyota tatu ya Snow Crest iliyopo pembezoni mwa barabara ya Arusha- Moshi, Ngulelo Arusha.
 
 
Mbali na hoteli ya Snow Crest, limeonekana tangazo lingine la kukaribisha wateja kuja kununua hoteli ya kifahari ya Mt. Meru ambayo nayo ipo mkoani Arusha.
Hoteli ya nyota nne ya Mt. Meru iliyopo jijini Arusha pembezoni mwa barabara ya Arusha Moshi, Sanawari Arusha.

0 comments:

Post a Comment