Home »
Michezo
» Hivi Ndivyo Mashabiki wa Yanga Wanavyowatania Wenzao wa Simba Huko Mitandaoni Baada ya Jana Kufungwa na Azam Fc,Ona Hapa Livee..!!!
JANA usiku Januari 14, 2017
kulikuwa na mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi uliopigwa kwenye
uwanja wa amaan, Zanzibar kati ya Simba SC na Azam FC, mchezo ambao
uliisha kwa Azam FC kufanikiwa kutwaa kombe hilo kwa kuifunga Simba SC
bao 1-0, bao pekee lililofungwa na kiungo Himid Mao mnamo dakika ya 13
ya mchezo huo.
Ikumbukwe
kuwa katika mchezo wa kuwania kufuzu kuingia hatua ya nusu fainali ya
kombe hilo, Yanga wapokea kichapo cha bao 4-0 kutoka kwa Azam FC licha
ya timu zote mbili kufuzu na kuingia hatua hiyo.
Katika
hatua ya nusu fainali Yanga alikutana mtani wake wa jadi, Simba siku ya
Jumanne na Simba kufanikiwa kuifunga Yanga kwa mikwaju ya penati 4-2
baada ya kutoka suluhu ndani dakika 90 za uwanjani hivyo kuwaondoa
kwenye mashindano hayo.
Baada
ya kipigo hicho Yanga walishambuliwa mitandaoni na watani wao wa jadi
(Simba) kwa kipigo hicho na kile cha Azam kilichopewa jina la 4G.
Kufuatia
kipigo cha jana cha Simba kutoka kwa Azam, baadhi ya mashabiki wa
watani wao wa jadi Yanga wamekuwa wakiwatania mitandaoni kwa kuweka
picha za aina mbalimbali za kuwakejeri kutokana na kipigo hicho.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
Related Posts:
#MICHEZO>>>>SIKU MOJA KABLA YA EUROPA, MBWANA SAMATTA AKUMBUKA NYUMBANI, AMWAGA MACHOZI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mshambuliaji Mtanzania ambaye anaichezea Genk ya Ubelgiji,
licha ya kuwa bize na masuala ya timu yake hiyo ya Ulaya bado
ameonyesha kuwa anaendelea kuwa mmoja wa Watanzania ambao wanafuatilia
masuala ya nyumbani kwao baad… Read More
#MICHEZO>>>>MAJANGA JUU YA MAJANGA MAN UNITED, BEKI AUMIA MAZOEZINI, NJE MWEZI MMOJA.FAHAMU ZAIDI HAPA.Baada
ya kupata kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Manchester City katika
Manchester Derby, habari nyingine ambayo siyo nzuri kwa wadau wa timu
hiyo ni hii hapa.
Beki
na kiungo wa Manchester United, Philip Anthony … Read More
#MICHEZO>>>OLIVIER GIROUD ALALAMA KUPEWA RED CARD, ASHANGAA TABIA YA MARCO VERRATTI.FAHAMU ZAIDI HAPA.Straika
wa Arsenal, Olivier Giroud amemjia juu kiungo wa Paris Saint-Germain,
Marco Verratti kwa mchezo mbaya aliouonyesha na kusababisha apewe kadi
nyekudu katika mechi ya Ligi ya Mabingwa, Jumanne wiki hii.Giroud
aliing… Read More
#MICHEZO>>>HAYA NDO MATOKEO YOTE YA MICHEZO YA UEFA ILIYO CHEZWA JANA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
<<<<DOWNLOAD APPLICTION KWENYE SIMU YAKO HAPA>>>
… Read More
#MICHEZO>>>>MAN UNITED YAWEKA REKODI KIMAPATO, YAINGIZA MKWANJA WA HATARI.FAHAMU ZAIDI HAPA.Klabu
ya Manchester United imetangaza kuwa imeingiza mapato ya pauni milioni
515.3 katika msimu wa mwaka mmoja uliopita uliomalizika Juni 30, 2016.
Kutokana
na kiwango hicho, klabu hiyo imesema kuwa imepata faida ya pauni… Read More
0 comments:
Post a Comment