Tuesday 14 June 2016

PICHA:7: YANGA IKIFANYA MAZOEZI USIKU HUKO UTURUKI.

Kikosi cha Yanga kipo nchi Uturuki kikiendelea kujifua kwa mazoezi chini ya benchi la ufundi linaloongozwa na kocha mholanzi Hans van der Pluijm akisaidiwa na mzalendo Juma Mwambusi.

Usiku wa jana Yanga walifanya mazoezi yao usiku ikiwa ni maandalizi ya mchezo wao wa kwanza wa hatua ya nane bora ya michuano ya kombe la shirikisho Afrika dhidi ya MO Bejaia ya nchini Algeria

0 comments:

Post a Comment